Wanafunzi wa vyuo vikuu mkue jamani acheni utoto!!!

hebu wanafunzi sikilizeni hiii

Last edited by a moderator:
.... ... Sinatatizo na serikali kuingia mkataba na manufacturers, tatizo ni nani wa kununua hizo computer.
Inanunua serikali kwa bei ya chini kabisa na kurecover kutoka kwa wanafunzi baada ya kumaliza chuo (kama wanavyofanya kwa mikopo mingine wanayopewa wanafunzi kwa sasa).

.... ... ijaelewa unamanisha nini kwamba unakwenda comp library, then comp zaidi ya nusu hazitumiki. Ni mbovu au hakuna watumiaji. Kama suala ni ubovu basi hapo kuna tatizo maana zinahitaji usimamizi. Sehem mbalimbali duniani wana hizi comp library na wanachofanya ni kuhakikisha zote zinafanya kazi, zipo well secured, wanafunzi wanaaccess na wanasaidiwa pia pale wanapokuwa na matatizo kwenye comp lab....

Yeah, that's what I meant. Mara nyingi hakuna usimamizi wa kutosha kufanya ziwe always functional na freely accessible kwa wanafunzi wote kwa wakati wote mwanafunzi anapoihitaji. Laptops ni convenient zaidi. Hata tukienda kwa wazo lako hili la computer labs/libs vyuo vinaweza kuwa na laptops za kutosha na mwanafunzi anaweza kuazima kama anavyoazima kitabu na kuitumia at his/her convenience!

.. Kutowapa laptops si kutowanyima nyenzo muhimu. .
Is that so? The Rwandans must then be crazy!

.... ...Nimesema na ninasema tena, kugawa laptops hakutaweza kuwa sustainable kwa uchumi wetu. Sijui kama unakumbuka vyema, zamani vyuoni walikuwa wanagawa calculator lakini baadae waliacha na mambo yaliweza kwenda. ....
Inategemea unaangalia nini hasa!....nakumbuka vicious circle ya umasikini. Leo nilikuwa nasoma mapendekezo ya IMF, wanashauri serikali kupunguza matumizi ya kwenye maeneo mengine na kuongeza matumizi kwenye social sectors ikiwamo elimu!

... Hivi bilioni kama 50 tukiwekeza kwenye ....au training ya walimu au kuboresha shule za kata unadhani kwa miaka 5 kitatokea nini? .....
Unarudi kulekule! Ni wanafunzi hao hao tunaowazungumzia ndio baadhi yao wanasoma ualimu! Tunatrain vipi walimu wetu? Kwenye post yangu ya mwanzoni nimetoa mfano wa tangazo la haki elimu...hawa wanafunzi wenye limited access ya computer ndio tunategemea waende wakatufundishie watoto wetu computer!
 
naunga mkono hoja kuhusu computer libray. Je zipo vyuoni? Kuna computers za kutosha na wasimamizi wa kutosha!?
Tuassume kozi yenye wanafunzi mia 5 ambao wanahitaji kuelekezwa moja kwa moja kwa kutumia computer, je wakasomee library?
Jibu hapo ni ndio na library lazima iwe na computers mia 5 ili kila mmoja awe na yake. Sasa, kwa muda ambao hao wanafunzi wapo comp lab wanasoma ina maana wanafunzi wengine wasiingie library kwahiyo ratiba ya wengine imevurugika.
Wote tunajua chuoni sio kama primary au secondary kwamba wote mnafika shule, mnakaa assembly. Kengele inagongwa mnaondoka kwa pamoja.
Vyuoni hakuna ratiba sawa na hapo ndipo utaona kuwa kuwa na pc ni muhimu kwa hawa mastudents.
Husninyo, nashukuru atleast tumekubaliana na sasa labda mjadala ni mechanisms gani inatumika. Mie nakumbuka wakati tupo chuo tulikuwa tunapelekwa comp lab kufundishwa (lakini utunzaji wake ulikuwa ni wa matatizo na maabara ndogo). Na pia sehem nyingine duaniani ndio wanafanya hivyo pale kozi inapohitaji wanafunzi waone applications. Hili linawezekana, zikawepo maabara fixed kwa ajili ya shughuli za practice na in most cases computer hizi huwa library na pia lap ambazo wanafunzi wanaweza kuwa na access pale zisipokuwa na masomo au training nyingine inaendelea. Ila cha msingi ziwe computer za kweli sio fake kama ambavyo serikali huuziwa fake na ziwe na program zote za kueleweka. Nina hakika wanafunzi watapenda shule na program hii. Nilifurahia saana hii mie binafsi wakati nipo sehem fulani. Maana kwenye computer kuna kila kitu yaani ukienda library ni kupiga mzigo tu.
 
Husninyo hivi unajua ni mkopo kiasi gani wa elimu ya juu umelipwa mpaka sasa. Yaani mie natamani wakulima washtuke na wao juu ya madai ya wenzao yasiyo endelevu kwa nchi nzima. Kila mtu ana namna ya utunzaji na utumiaji wa vifaa. Kuna mwingine atainstall program weee at the end of the day computer inakufa. Ukiweka maabara kuna kuwa na restrictions za installations na utunzaji na vitu vinadumu. Tena unaweza kuweka security camera tu, akawepo mtu mmoja au wawili kwenye control room then wanafunzi wakaendelea kijufunza na kusave gharama. Mie sina tatizo na wao kujifunza ila ni vyema tuwe tunatoa ushauri ambao unafikiria na sekta nyingine zinazohudumiwa na serikali.

una mawazo mazuri. Sectors zote zinahitaji kuendelezwa. Namna ya kuziendeleza ndio huwa utata. Inafahamika kabisa hakuna sekta hapa kwetu ambayo haina mapungufu.
Usinitoe nje ya topic. Tuendelee kujadili sekta yetu hii ya elimu na suala la computer lililopo.
MKOPO: suala la kurudisha mkopo ni suala la bodi kuhakikisha kama ambavyo wameutoa ndivyo hvyo hvyo unarudi. Mbona watu wanakatwa kwenye mishahara. Naamini mikopo inarudi labda kama kuna ujanja ujanja unafanyika.
CAMERA COMP LAB: itafanikiwa kuchunga wanafunzi wasiibe vifaa kitu ambacho sio lengo la wanafunzi kuingia comp lab. Lengo ni kujifunza na watoke wameelewa. Kama lab ina supervisors wawili na wanafunzi wameingia mia mbili ni vipi itawezekanika kuwasaidia pale wanaposhindwa.
RESTRICTIONS: kweli lab itakuwa na rest na restrct mojawapo inaweza kuwa ni kutokuchomeka flash (hii ipo hata kwenye internet cafe). Sasa jamani mtu amejaza madesa yake kwenye flash halaf lab imkataze atasoma vipi? Hizo computers za lab zitakuwa na materials yote ambayo yatakizi mahitaji ya wanafunzi wote! Sidhani kama ni rahisi.
Kuhusu kutunza personal property na public property halina ubishi kuwa watz wengi hawana desturi ya kutunza mali ya umma.
 
Kwenye elimu issue za conviniency ni individual based. Bado kidogo wataanza kudai video training/conferencing kama ndio hivyo. Kinachohitajika na mazingira muafaka sehem za kusomea na si kuanza kugawa laptops, pen, suruali, shati nk. Maana ndio tunakoelekea.

mmh! Una masihara. Hadi peni na suruali.
Watadai ambavyo ni muhimu kama hzo computers.
 
SMU.
Nimependa wazo lako la hizo computer library kuwa na both laptops na desktop na wanafunzi wakaazima laptops kama wanavyoazima vitabu.
Good idea.
 
Ewe mtoa mada nakupa ushauri wa bure...'kama huna chakuandika ni bora ukae utulie...kuliko kuandika mambo ambayo yanaonyesha uchanga wa fikra zako'. Unadhani mtu anawezaje kuwa mtaalam wa IT bila kuwa na computer? Je kama waliahidiwa kuna ubaya gan wao kuhoji juu ya ahadi hizo? Kuhusu nauli unaonekana hufahamu unachokiandika! Hakikisha unafahamu mambo kabla ya kutoa kauli...!
 
Hata sisi tulisoma vilevile na tukasoma hizo programming lakini hatukununua wala kumdai mtu laptop. Tuliendaga Kariakoo kule tukanunua PC used tukaipiga mtungo na TUKAFAULU VILEVILE..wanafunzi wa siku wana mizaha sana aisee..lol

Mkuu sana Abduhalim, suala la Msingi ni Kuuliza je Kuna Mtu au Kiongozi aliyewahi kuwaahidi wana wa UDOM LAPTOP?
 
una mawazo mazuri. Sectors zote zinahitaji kuendelezwa. Namna ya kuziendeleza ndio huwa utata. Inafahamika kabisa hakuna sekta hapa kwetu ambayo haina mapungufu.
Usinitoe nje ya topic. Tuendelee kujadili sekta yetu hii ya elimu na suala la computer lililopo.
MKOPO: suala la kurudisha mkopo ni suala la bodi kuhakikisha kama ambavyo wameutoa ndivyo hvyo hvyo unarudi. Mbona watu wanakatwa kwenye mishahara. Naamini mikopo inarudi labda kama kuna ujanja ujanja unafanyika.
CAMERA COMP LAB: itafanikiwa kuchunga wanafunzi wasiibe vifaa kitu ambacho sio lengo la wanafunzi kuingia comp lab. Lengo ni kujifunza na watoke wameelewa. Kama lab ina supervisors wawili na wanafunzi wameingia mia mbili ni vipi itawezekanika kuwasaidia pale wanaposhindwa.
RESTRICTIONS: kweli lab itakuwa na rest na restrct mojawapo inaweza kuwa ni kutokuchomeka flash (hii ipo hata kwenye internet cafe). Sasa jamani mtu amejaza madesa yake kwenye flash halaf lab imkataze atasoma vipi? Hizo computers za lab zitakuwa na materials yote ambayo yatakizi mahitaji ya wanafunzi wote! Sidhani kama ni rahisi.
Kuhusu kutunza personal property na public property halina ubishi kuwa watz wengi hawana desturi ya kutunza mali ya umma.
Yaani suala la mkopo ni tatizo saana. Watu hawalipi kabisa ni tabia ya watu wengi kuamini kuwa pesa ya serikali haina mwenyewe. Inasikitisha kwa kweli. Hili pia itabidi tuliongelee. Well mishahara inatofautiana lakini mtu analipwa karibu two millioni unamkata 14500 ili tu mkopo urudi after ten years? Hawa wanatakiwa wafanyie overhaul. Nchi hii kuna watu wengi saana wanajua namna ya kufanya kazi na wanamachungu na nchi yao, tatizo kazi zinatolewa kwa vimemo na si competency.
Hilo la security camera ni muhimu saana, kwanza kwa usalama wa wanafunzi, mali zao na mali za vyuo. Naongea hili maana nakumbuka kuna chuo kimoja hapa tanzania waliweka computer lap watu wakawa wanaondoka na mouse, mwingine keyboards etc. halafu anasahau kuna wengine wanataka kusoma, kama wewe mwenyewe ulivyomalizia hapo chini watu hawana uchungu na mali za nchi bali wanajiangalia wao. Kuchomeka flash ni muhimu saana na ndio ninasikia kwako, kwamba wanakataza kuchomeka flash. Kisa nini virus? Ni lack of skills tu na si lingine.
Kwenye computer za lab wanaweka softwares tu ambazo ni muhim kwa analysis au programming kutegemeana na kozi na pia kila mwanafunzi anawekewa namna ya kusave kazi yake kwa kutumia log in na password yake. Kuna sehem kila mwanafunzi huwa anakuwa na 1GB kwenye computer ya chuo. Ukilog in ni unakuwa umesign in kwenye desktop ya makorokoro yako tu. Nadhani watu wa IT wanalijua hili tena material yakuwa safe kuliko hata kwenye flash. Ninachosisitiza ni lack of skills na ndio maana wengi tunaamini laptop. Hapo hakuna sijui disk imefanyaje, yoote yapo kwenye server huko.
 
Hata sisi tulisoma vilevile na tukasoma hizo programming lakini hatukununua wala kumdai mtu laptop. Tuliendaga Kariakoo kule tukanunua PC used tukaipiga mtungo na TUKAFAULU VILEVILE..wanafunzi wa siku wana mizaha sana aisee..lol

mliposoma bila laptop mmeambulia nini? Maendeleo ya kisayansi yako wapi? Je unapenda tuendelee kuwa mbumbumbu wa technology kama nyie? Fanya tafakuri kabla ya kuongea.
 
Inanunua serikali kwa bei ya chini kabisa na kurecover kutoka kwa wanafunzi baada ya kumaliza chuo (kama wanavyofanya kwa mikopo mingine wanayopewa wanafunzi kwa sasa).

Yeah, that's what I meant. Mara nyingi hakuna usimamizi wa kutosha kufanya ziwe always functional na freely accessible kwa wanafunzi wote kwa wakati wote mwanafunzi anapoihitaji. Laptops ni convenient zaidi. Hata tukienda kwa wazo lako hili la computer labs/libs vyuo vinaweza kuwa na laptops za kutosha na mwanafunzi anaweza kuazima kama anavyoazima kitabu na kuitumia at his/her convenience!

Is that so? The Rwandans must then be crazy!

Inategemea unaangalia nini hasa!....nakumbuka vicious circle ya umasikini. Leo nilikuwa nasoma mapendekezo ya IMF, wanashauri serikali kupunguza matumizi ya kwenye maeneo mengine na kuongeza matumizi kwenye social sectors ikiwamo elimu!

Unarudi kulekule! Ni wanafunzi hao hao tunaowazungumzia ndio baadhi yao wanasoma ualimu! Tunatrain vipi walimu wetu? Kwenye post yangu ya mwanzoni nimetoa mfano wa tangazo la haki elimu...hawa wanafunzi wenye limited access ya computer ndio tunategemea waende wakatufundishie watoto wetu computer!
SMU la kuazima computer tayari wenzetu wanafanya. Wanakuwa na laptop na hizi kuhakikisha kila mwanafunzi anaweza kuazima mara nyingi restrictions ni siku 7 na unaweza kurenew tu kuazima kama hamna mwingine kwenye queue. Ukijifanya kukaa nayo costs ya kukaa nayo ni kubwa kuliko kurudisha.
Matumizi kwenye sekta ya elimu ni muhimu saana lakini kama leo tutaanza kuandika vipaumbele kwenye sekta ya elimu, kugawa laptops hakutakuwa kipaumbele. Unajua kule wanafunzi wa kata, wanafanyaje experiment. Wengine hupelekwa shule zenye vifaa, wengine huazima na wengine huishia kwenye paper moja. Pia training ninayoizungumzia kwa walimu, ni training ya kuweza kukidhi uhaba mkubwa wa walimu kwenye shule zetu. Si hivyo tu na kuboresha mazingira ya madarasa. Kuna picha moja iliwekwa hapa wanafunzi wanachangia darasa, wengine wamegeukia mbele na wengine nyuma; hivi kwa mtazamo huu kipaumbele ni laptops??
Sustainability ninayozungumzia, ni uwezo wa serikali kutoa hizo computer kila mwaka ambao wanafunzi wanakuwa enrolled. Kama unakumbuka zamani wanafunzi walikuwa wakipewa 100% lakini baadae ndiyo yakaja mambo ya loan nk. Sasa ukianza leo hii kugawa computer tutaweza kwenda mbele miaka 10 au zaidi kwa kila mwaka tunagawa. Lets do something simple. Mie naweza nikaiweka bajeti ya serikali hapa halafu tujadili hizo 50 billions tunazitoa kwenye nini.
 
Yaani suala la mkopo ni tatizo saana. Watu hawalipi kabisa ni tabia ya watu wengi kuamini kuwa pesa ya serikali haina mwenyewe. Inasikitisha kwa kweli. Hili pia itabidi tuliongelee. Well mishahara inatofautiana lakini mtu analipwa karibu two millioni unamkata 14500 ili tu mkopo urudi after ten years? Hawa wanatakiwa wafanyie overhaul. Nchi hii kuna watu wengi saana wanajua namna ya kufanya kazi na wanamachungu na nchi yao, tatizo kazi zinatolewa kwa vimemo na si competency.
Hilo la security camera ni muhimu saana, kwanza kwa usalama wa wanafunzi, mali zao na mali za vyuo. Naongea hili maana nakumbuka kuna chuo kimoja hapa tanzania waliweka computer lap watu wakawa wanaondoka na mouse, mwingine keyboards etc. halafu anasahau kuna wengine wanataka kusoma, kama wewe mwenyewe ulivyomalizia hapo chini watu hawana uchungu na mali za nchi bali wanajiangalia wao. Kuchomeka flash ni muhimu saana na ndio ninasikia kwako, kwamba wanakataza kuchomeka flash. Kisa nini virus? Ni lack of skills tu na si lingine.
Kwenye computer za lab wanaweka softwares tu ambazo ni muhim kwa analysis au programming kutegemeana na kozi na pia kila mwanafunzi anawekewa namna ya kusave kazi yake kwa kutumia log in na password yake. Kuna sehem kila mwanafunzi huwa anakuwa na 1GB kwenye computer ya chuo. Ukilog in ni unakuwa umesign in kwenye desktop ya makorokoro yako tu. Nadhani watu wa IT wanalijua hili tena material yakuwa safe kuliko hata kwenye flash. Ninachosisitiza ni lack of skills na ndio maana wengi tunaamini laptop. Hapo hakuna sijui disk imefanyaje, yoote yapo kwenye server huko.

nafikiri tumeenda sawa. Kikubwa ni madent kuwa na access ya computer muda wote wanapohitaji.
Ni suala la kuwa na planning nzuri ya kutekeleza hilo.
 
Mkuu sana Abduhalim, suala la Msingi ni Kuuliza je Kuna Mtu au Kiongozi aliyewahi kuwaahidi wana wa UDOM LAPTOP?
Suala la msingi ni how realistic in terms of capacity kumpa kila mwanafunzi mkopo akanunue laptop achilia mbali wazo lenyewe lilivo la kijinga.
 
... . Mie naweza nikaiweka bajeti ya serikali hapa halafu tujadili hizo 50 billions tunazitoa kwenye nini.

Anfaal, umeongea vizuri lakini si kwamba ukiwakopesha wanafunzi basi unaacha kufanya mambo mengine. Nimesema hapo mwanzo nchi inayopotential ya kutosha kutoa laptops kwa wanafunzi wa vyuo...issue ni namna ya kujipanga. Suala la madarasa na walimu pia linawezekana.

Nikirudi kwa IMF, wametushauri kuongeza kodi kwenye madini! Hivi, Anfaal tuchukulie Tz hakuna kitu kingine zaidi ya madini na ukanda wa bahari kutoka Tanga hadi mtwara...hivi peke yake vinatosha kuendesha mambo yetu yote bila kuomba chochote kutoka nje...including kutoa laptops si tu kwa wanafunzi wa chuo bali kwa kila mwanafunzi. Ni suala la kujipanga tu...ambalo msingi wake mkuu ni mapungufu tuliyonayo 'upstairs'....ambayo ina cascade down kwenye namna tunavyopata elimu yetu kuanzia chini hadi juu.

Hivi unakumbuka za 'kilimo kwanza' zilikuwa shilingi ngapi? Zilitoka wapi? Na zimeenda wapi?

Kama ilivyo katika mambo mengine, ni lazima uanze na lengo (objective) na ndio utafute namna ya kufikia lengo (strategies). Kama hatujui tunakwenda wapi au tunataka nini, ni vigumu kubuni njia za kutufikisha tunakotaka kwenda au kupata tunachokitaka. Mimi naamini serikali kama ikiwa na lengo la kuboresha elimu, be it madarasa, walimu au nyenzo nyinginezo, inawezekana kubuni njia ya kufikia malengo hayo bila hata kuomba senti kutoka nje. Kuna kipindi ****** alitembelea silicon valley, sijui aliitumiaje ziara ile so far!
 
Labda tunashindwa kuelewana, mie sikubaliani na suala la wanafunzi kupewa laptops kama wao wanavyotaka kutuaminisha kuwa ni faculty requirements bali ningependa kuona kunakuwa na mazingira bora yatakayowawezesha kuwa na access ya computer kwa ajili ya kujifunza.
Kukopesha, bado hatuna mfumo imara wa ukusanyaji mikopo ya serikali labda wajaribu kufikiria kama wanaweza kukopa kwenye commercial institutions tena iwe ni kati ya wanafunzi na taasisi husika.
Kilimo kwanza na hayo mengine ni muendelezo wa upuuzi wa serikali na kama unakumbuka mwenye nchi alisema pesa za EPa zitakwenda kwenye kilimo, hebu leo hii tujiulize accountability yake iko wapi. Wangeanzisha kilimo cha umwagiliaji huenda hali ingekuwa tofauti.
Hoja ya kuboresha ni ya msingi kama ulivyosema lakini kwa wakati wa sasa, nilidhanii wasomi wetu wanajua nchi iko katika hali gani na mahitaji ya muhimu ni yapi kabla ya kuanza kudai kila mmoja agawiwe laptop.
 
akuna serikali isiyo na matatizo na pengine kwa afrika mashariki tanzania inaongoza kila sekta
kwa upande wa elimu bomu kubwa limeangukiwa wizara hii pale walipopewa bomu lililoishinda wizara ya miundo mbinu na saasa limeamia elimu

Ok nije kwenye mada hapo juu..ndugu wapendwa ni kweli waweza kusema chuo kimevamiwa na watoto walio na umri mdogo sana ndio maana hata humu jf wanamizaha kupita uko nyuma

embu jiulize wanataka nauli ipunguzwe iwe 250

kule dom wanataka kila mwanafunzi awe na laptop

wapi utapata hili ndugu zanguni kuweni makini na migomo ya kijinga muulizen zito awape njia za migomo kudai haki zenu mpaka

Kama umeliona hizo, basi fanya hivi: Iambie serikali yako ifutilie mbali nafasi za wabunge woooooteeee wa kuteuliwa. Hizo gharama za hao wabunge wa kuteuliwa ambao ni mzigo mkubwa sana tena sana kwa nchi zitatosha kabisa kuwasomesha hawa vijana.
Thanks
 
Labda tunashindwa kuelewana, mie sikubaliani na suala la wanafunzi kupewa laptops kama wao wanavyotaka kutuaminisha kuwa ni faculty requirements bali ningependa kuona kunakuwa na mazingira bora yatakayowawezesha kuwa na access ya computer kwa ajili ya kujifunza.
Kukopesha, bado hatuna mfumo imara wa ukusanyaji mikopo ya serikali labda wajaribu kufikiria kama wanaweza kukopa kwenye commercial institutions tena iwe ni kati ya wanafunzi na taasisi husika.
Kilimo kwanza na hayo mengine ni muendelezo wa upuuzi wa serikali na kama unakumbuka mwenye nchi alisema pesa za EPa zitakwenda kwenye kilimo, hebu leo hii tujiulize accountability yake iko wapi. Wangeanzisha kilimo cha umwagiliaji huenda hali ingekuwa tofauti.
Hoja ya kuboresha ni ya msingi kama ulivyosema lakini kwa wakati wa sasa, nilidhanii wasomi wetu wanajua nchi iko katika hali gani na mahitaji ya muhimu ni yapi kabla ya kuanza kudai kila mmoja agawiwe laptop.
kama nilivyosema awali, ni vema serikali ikayachukua madai hayo kama changamoto badala ya kuyapuuza! Wakiyachukua positively ni rahisi kuyafanyia kazi. Bila hivyo tutabaki hapahapa tulipo tukiendelea kutoa visingizio kua hatuwezi.
Nakushukuru kwa mjadala huu. Na imani sote tuna nia njema na nchi yetu
 
Mmmh! Laptops tena? Mbona wabongo wabinafsi hivyo. Kwa nini wasilalamikie kitu kingine kwa manufaa ya wengi? Waalimu shule za misingi na sekondari hakuna, vitendeakazi hakuna na kama vipo basi hafifu na havitoshelezi. Matangazo ya HakiElimu yawakuze basi, Laptops...laptops!!! Mnunue mkianza kazi.

Amakweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
mliposoma bila laptop mmeambulia nini? Maendeleo ya kisayansi yako wapi? Je unapenda tuendelee kuwa mbumbumbu wa technology kama nyie? Fanya tafakuri kabla ya kuongea.
Wewe ndio walewale kutoka kabila la 'wasomi' wa kisasa. Sasa ni laptop ndio inakuza sayansi? AU maendeleo ya technology yanaletwa na laptops? Wengine walisoma enzi zile za typewritter na sasa hivi they are employable at global scale. Watu wene mtazamo kama wako ni mzigo kwa taifa.
 
Ukiona kuna mwanafuzi wa Chuo anasubiri utolewe mkopo wa laptop anunue laptop kuna mawili

  • kwanza hiyo laptop sio muhimu kwa masomo yake
  • Pili huyo mwanafunzi hawezi kuorgnise resources ndogo alizonazo kufanisha issue.

Mhh mi nadhani wamesahau kuomba na simu mikopo ya laptop na simu

teh teh teh teh

kama wanafunzi wagekuwa ni walipaji mbona kampunzi zigejitokeza tu kuwakpa. Waliosoma kwa mkopo na kupata mamilioni bado wengine wana doge kulipa . Au ndo ile mamboya omba omba yanazidi kuota mzizi.
 
Back
Top Bottom