Wanafunzi wa vyuo acheni basi utapeli

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,845
32,202
Wanabodi wa Chit-Chat.

Hii imemtokea jamaa yangu alikuwa na mpenzi pale chuo IFM baada ya kutapeliwa sana siku moja akampigia simu huyo binti mazungumzo yalikuwa hivi.

Kijana: Mambo vipi dear hujambo.

Binti: Sijambo.

Kijana: Dear leo tunaweza kuonana jioni ukitoka chuo.

Binti: Hapana sina hata nafasi mchana na kipindi halafu usiku namsindikiza mama mdogo harusini.

Kijana: Poa dear nilikuwa nimekununulia zawadi yako Mlimani City.

Binti: Waau! Baby wangu ahsante nashukuru sana umeninunulia nini sweet.

Kijana: Nimekununulia simu Blackberry Bold 990.

Binti: Jamani Baby wangu Mungu akubariki basi takuja then talala huko huko sawa Sweet wangu.

Kijana: Wewe si umesema unaenda harusini nenda tu tampelekea mdogo wangu.

Binti: Wewe vipi mpuuzi nini usidhani mie na shida sana naomba uifute na namba yangu kuanzia leo unikome.

Kijana: Sawa tafanya hivyo.
 
Wanabodi wa Chit-Chat.

Hii imemtokea jamaa yangu alikuwa na mpenzi pale chuo IFM baada ya kutapelewa sana siku moja akampigia simu huyo binti mazungumzo yalikuwa hivi.

Kijana: Mambo vipi dear hujambo.

Binti: Sijambo.

Kijana: Dear leo tunaweza kuonana jioni ukitoka chuo.

Binti: Hapana sina hata nafasi mchana na kipindi halafu usiku namsindikiza mama mdogo harusini.

Kijana: Poa dear nilikuwa nimekununulia zawadi yako Mlimani City.

Binti: Waau! Baby wangu ahsante nashukuru sana umeninunulia nini sweet.

Kijana: Nimekununulia Blackberry Bold 990.

Binti: Jamani Baby wangu Mungu akubariki basi takuja then talala huko huko sawa Sweet wangu.

Kijana: Wewe si umesema unaenda harusini nenda tu tampelekea mdogo wangu.

Binti: Wewe vipi mpuuzi nini usidhani mie na shida sana naomba uifute na namba yangu kuanzia le unikome.

Kijana: Sawa tafanya hivyo.

Kwani na wewe inakushangaza kuwepo utapeli? Mbona ccm unayoishabikia inafanya more than that!
 
Hahahahahahahahaha
mkuu Ritz hao wako kipesa zaidi.
Ni kuwa nao kiakili tu!
 
a week later,kijana kabanwa na ham ya jig jig,ana sms:
kijana: hi love
mdada: nani wewe
kijana: richie
mdada: whats up?
Kijana: nimekumiss
mdada: kwani mi period?
Kijana: acha hizo sweetie?
Mdada: peremende nani?
Kijana: naomba nikuletee ile blackberry
mdada: we si uliniona mi mshamba wa simu?
Kijana:nisamehe,nutakuletea na ipad kanipa anti yangu.
Mdada: uko wapi?
Kijana: niko getini hostelini kwenu
mdada:ngoja nije nikufungulie
.......itaendelea
 
Nilijua tu.....haukosi kutokelezea kwenye nyuzi kama hizi!
 
Hata ccm unaowaunga mkono pamoja na kikosi chako ya thatha,zomba,Rejao na MS ila sijui kama huyu member yuko wapi lakini akili yako Ritz iko sawa memberz tajwa hapo juu!

Ndiyo ccm iko hivyo!

Pole kijana Ritz!
 
hahahahahahah Ritz acha tu....
hapo huyo mdada yupo kipesa zaidi.....
chezea chuo kuna watu boom yao hawatumii wanakula za wenzao tu....
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna watu wanadate wanafunzi wa vyuo hadi leo?

Sio kudate tu na kuoa kabisa,, wanaume waliofika age ya kuoa wanaoa watoto wa vyuo na kuwaacga age mates wao wafanywe nyumba ndogo na vibabu
 
BADILI TABIAwengi wanaokula boom za wenzao ni wadada na wengi ambao boom zao huliwa ni wakaka.Kuna ubishi hapo?
 
Last edited by a moderator:
a week later,kijana kabanwa na ham ya jig jig,ana sms:
kijana: hi love
mdada: nani wewe
kijana: richie
mdada: whats up?
Kijana: nimekumiss
mdada: kwani mi period?
Kijana: acha hizo sweetie?
Mdada: peremende nani?
Kijana: naomba nikuletee ile blackberry
mdada: we si uliniona mi mshamba wa simu?
Kijana:nisamehe,nutakuletea na ipad kanipa anti yangu.
Mdada: uko wapi?
Kijana: niko getini hostelini kwenu
mdada:ngoja nije nikufungulie
.......itaendelea

Iliendeleaa.....
Mdada akafungua mlango..
mdada:Waooooh jamani,ulipotea sana,usifanye hivyo tena,
kijana:Hapana siunajua nilikua safarini
mdada:Enhe hiyo blackberry iko wapi??af hizo i pad sijawahi kutumia kabisa......
kijana:By the way,twende roon kwanza tutaongea mengine baadae..
mdada:poa,lakini hata mizigo sipokei jamani...
Kijana:Unajua hii niliyobeba ni maandazi ya azam,ile blackberry na i pad zimeibiwa kwenye daladala..
mdada:Loh..kumbe hata gari huna,unaleta maandazi umesikia nataka kufunga choo???....hebu nipishe,nina test mchana,tutaonana weekend ijayo.....mxxxxiouuuuuuuuu(sonyo)..............
itaendelea....
 
Wanabodi wa Chit-Chat.

Hii imemtokea jamaa yangu alikuwa na mpenzi pale chuo IFM baada ya kutapeliwa sana siku moja akampigia simu huyo binti mazungumzo yalikuwa hivi.

Kijana: Mambo vipi dear hujambo.

Binti: Sijambo.

Kijana: Dear leo tunaweza kuonana jioni ukitoka chuo.

Binti: Hapana sina hata nafasi mchana na kipindi halafu usiku namsindikiza mama mdogo harusini.

Kijana: Poa dear nilikuwa nimekununulia zawadi yako Mlimani City.

Binti: Waau! Baby wangu ahsante nashukuru sana umeninunulia nini sweet.

Kijana: Nimekununulia simu Blackberry Bold 990.

Binti: Jamani Baby wangu Mungu akubariki basi takuja then talala huko huko sawa Sweet wangu.

Kijana: Wewe si umesema unaenda harusini nenda tu tampelekea mdogo wangu.

Binti: Wewe vipi mpuuzi nini usidhani mie na shida sana naomba uifute na namba yangu kuanzia leo unikome.

Kijana: Sawa tafanya hivyo.

hiyo ndo mbwa kala mbwa,pesa ikiwepo majina yote mazuri utaitwa wewe,ole wako zikauke,na hii sio vyuoni tu,huku mtaani ndo balaa zaidi
 
hahahahah sasa mlitaka muwazeeshe pasi matunzo?utakuta kijitu kinapiga goli mpaka mornie macare hamna kinajua kula mzigo tu!ebo hakuna vya bure at!
 
Iliendeleaa.....
Mdada akafungua mlango..
mdada:Waooooh jamani,ulipotea sana,usifanye hivyo tena,
kijana:Hapana siunajua nilikua safarini
mdada:Enhe hiyo blackberry iko wapi??af hizo i pad sijawahi kutumia kabisa......
kijana:By the way,twende roon kwanza tutaongea mengine baadae..
mdada:poa,lakini hata mizigo sipokei jamani...
Kijana:Unajua hii niliyobeba ni maandazi ya azam,ile blackberry na i pad zimeibiwa kwenye daladala..
mdada:Loh..kumbe hata gari huna,unaleta maandazi umesikia nataka kufunga choo???....hebu nipishe,nina test mchana,tutaonana weekend ijayo.....mxxxxiouuuuuuuuu(sonyo)..............
itaendelea....

duh....!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom