Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

Nakupa pole kwa moyo mweupe kabisa ndg yangu lakin wacha tu nikwambia una mawazo finyo mno ,naomba kama utojali nitumie vyeti vyako vyote na unako fanya kazi na mm nifanye hivo hivo tubainishe ukwel mkuu.
 
acha hizo usiingize siasa kwenye taaluma.acha hasira mabadiliko uchukua mda
Labda angefafanua zaidi kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi wa Udom niliye hitimu mwaka jana mwezi wa sita Project planning & Management nimemaliza tu nikafanya application na kupata kazi haraka na mpaka nikawa nachagua kampuni la kufanya nao kazi mpaka sasa nina mwaka kazini nakula matunda ya Elimu ya Udom,na tena hata sasa Bank fulani wananitaka kama Relationship Manager-agribusiness. kwa hiyo acha kusema vitu usivyokuwa na uhakika navyo
 
acha kuongea k2 usıchojua,me nmemalıza mwaka huu na npo kazn...na hyo hoja ya pıl futa kabsa,eg 2010 ssh walchukua 1 na 2,haya huo ukılaza uko wap?
 
kuna jamaa nawafaham wana. I point 4 wanasoma pale School ya social science. Wapo wengi sana na performance yao ipo juu sana ukilinganisha na wale waliopata dv 2. Wakaenda udsm na mzumbe kila kukicha wao na sup na wengine wamekatwa kichwa kama ukienda pale udsm utakuta riport za wanafunzi wa masters waliofanya. Vizuri kwenye presentation hasa ni Udom,saut,mzumbe. Nk
 
hivi kuna watu bado wana mawazo mufu kama haya?
Aliyekwambia ckuhizi watu wanaangalia chuo ulichosoma ni nani?..kwanza hizo ajira unazozizungumzia ni zipi?,maana ajira ni chache, na nyingi kati ya hizo chache zinatolewa kwa kujuana!haijalishi umesoma wapi, bt whom do u knw!
Ss mwenzetu vipi!
 
NAHISI NA WEWE NI MMOJA WAPO WA OUTPUT YA UDOM, pole sana reserch nimefanya nchi nzima

tatizo la kutumia hayo makalio yako ya batook kufikiria ndo unakuja na shudu kama hizi !!
watu tupo tunapiga mzigo na kampuni zinatutegemea lakini kifafa cha akili ulichonacho kitaendelea kukuangusha kwenye kufikiria tu.
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti

Ndugu sijui unaongelea UDOM ipi,mimi nimehitimu mwaka jana nimeajiriwa mwaka huu. Na wapo wengi niliohitimu nao wamechuliwa na CRDB,PWC,TCC,hawa ni zaidi ya 10 na wa4 nimesoma nao darasa1. Tatizo sio UDOM ila ni mfumo au soko la ajira kwani ajira bila viwanda ni kazi bure. Usikurupuke
 
wahitimu niwengi kuliko fursa za ajira zilizopo , ukichukua takwimu chuo kinachotoa wahitimu wengi kuliko vyuo vyote hapa bongo ni UDOM, kwa mantiki hii wahitimu wengi walio katika soko la ajira ni wanafunzi wa UDOM, wachache walio ajiriwa kutoka UDOM wameonyesha uwezo mkubwa tofauti na mafisadi walio hitimu UDSM ambao sasa wengiwao ni mafisadi wakubwa wahujumu wa taifa nitakupa mifano na nyadhifa walizo shika.
 
huo utafiti umeufanyia wapi?,sample size yako ilikuwa vp?,was it representataive?........umejisikia kuongea
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
 
Mtoa mada nadhani ana upungufu wa kufikiri. Yawezekana ulikuwa na girl friend Udom aliyekulia mtaji wako wote na kukuacha na kabukta ndo maana umeamua kuiponda Udom. Vinginevyo umedondosha virusi vya kufikiri.
 
UDOM ni zoazoa full stop. as a result output yake unaijua, unategemea watacompete? zamani tulikuwa tunashindana kuopoa watoto wa chuo kikuu, ukweli ni kwamba ukimpata regardless ni mrembo au la, anaumwa au la ulionekana wewe ni mkali kwelikweli, kukamata kichwa? haikuwa mchezo, siku hizi wanajiuza, sasa a serious university student kweli anaweza kufanya huo upuuzi? yes inaweza kuwa tabia ya mtu lakini angalia idadi ya wanaojiuza. Tuwekeze Veta kamwe hatutasikia vita ya ajira hii biashara ya kuandaa wavaa tai wasio na kazi ndo zile porojo za bomu la ajira kila siku hazitaisha.
 
Nadhani unakichwa kibovu mbona tupo kazini tunapiga mzigo na tunawasimamia wanafuunzi toka vyuo vingine. nadhani huelewi maana ya utafiti. hizo ni assumption zako. inawezekana we ndo huna job ndomana unakalia umbea
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti
 
Tukubaliane sera ya vyuo vikuu itatumaliza hasa ethics zisipozingatiwa katika utoaji wa elimu ya juu. Mfano inakuwaje special project ya mwanafunzi wa shahada ya kwanza inafanywa kwa makundi hapo udom ? Hakuna kitu kama hicho mfano katika chuo kikuu cha kilimo cha sua. Kila mwanafunzi anasimamiwa na dr au prof. Mwanzo mwisho. Hakuna magumashi kama hayo ya udom. Masters hali ndo more serious mwanafunzi anasimamiwa na waalimu wasiopungua wawili. Output ya mwanafunzi huyu ni ni lazima iwe kubwa na impact. Infact there is critical approach to learning at sua taking as an example. Mwalimu wa master ambaye ni assistant lecturer hawezi kuwa mahiri kama professors and drs ktk kumsimamia mwanafunzi. It leaves a lot to be desired anyway. That is my opinion.
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti

Huwa napenda mnvyokashifiana ama kuambiana ukweli kuhusu vyuo..Endeleeni kutupa raha!!
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti

Aaaaah wacha we kumbe!!!Ila kama na we ni mwanafunzi wa chuo chochote basi jipange vizuri, Ma HR wengi hawangalii umesoma wapi, wanaangalia una nini kinachoweza kuiingizia kampuni fweza.
 
Inshort,UDOM ni Kimbilio la Wakosefu.
Wale Failures woote ndo hukimbilia kule.
Kamuulize Mwanafunzi anayesoma UDOM Computer Engineering ama Telecomunications Engineering Before alikuwa ana Dreams za Kusomea wapi na Kwanini yuko UDOM
 
NAHISI NA WEWE NI MMOJA WAPO WA OUTPUT YA UDOM, pole sana reserch nimefanya nchi nzima

Wacha uongo wewe mwanangu hivi karibuni alifanya interview kwenye kampuni ya kigeni na amepasi with flying colours na hata kumpeleka nje kusoma.

Na amesoma hapo hapo UDOM.

Vilaza wapo hata UDSM na huwa tunawaona wakija kwenye interview.
 
WanaJf nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu nimegundua wanafunzi waliomaliza UDOM bado hawajapata kazi/ajira wala hawaitwi knye interview, tujadili kwa pamoja tatizo ninini?

1. Chuo ni kipya, bado hakijulikani sana!
2. Waliochaguliwa kujiunga na UDOM walikuwa vilaza(wanafunzi wale wa Kata) hivyo understanding bado iko chini
3. kwa ujumla elimu ya UDOM iko chini ya kiwango!
4. Waajiri wengi(private) wanaamini UDOM ni chuo cha ccm, na wao kuichukia ccm hawataki kuajiri wahitimu wa chuo cha ccm!

naomba kuwakilisha jamvini mwenye maoni tofauti

Dogo acha mawazo mgando we unafikili ajira zinatokana na brand name ya chuo? we kama huna wauvhezesha mvyeti yako utakaa mtaani kama kawa.Ila unaonesha wewe unawaogopa wanafunzi wa UDOM na umejipanga kuchafua jina la chuo ili uajiriwe ila hautaafanikiwa wapo wengi wale fight MAJUNGU BA KUPONDA HAKUTOKUSAIDIA.
 
Back
Top Bottom