Wanafunzi wa Udom wagoma

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), wamegoma kuingia madarasani na kuandamana hadi Ofisi ya Waziri Mkuu mjini hapa, kupeleka malalamiko yao likiwamo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutotimiza ahadi ya kuwapatia kompyuta.

Licha ya mambo mengine, wanafunzi hao wa Chuo cha Teknolojia ya Habari, walisema Pinda aliwaahidi kumnunulia kila mwanafunzi kompyuta ndogo (laptop) kwa ajili ya kumsaidia kwenye masomo yake, lakini hadi jana ilikuwa haijatimizwa.
 
hpahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
kama wanadai kuwa kila mtu anunuliwe laptop ili wakachati fb , basi kila mmoja ana haki ya kupigwa bakora. no free luch in europe
 
Kama aliwaahidi wamdai tu, tena wampeleke mahakamani. Ahadi ni deni!
Kazidi uongo
 
Du, kama ni kweli sasa utakuwa ni ujuha wa hali ya juu, kwani baba akikuahidi kitu asipokupa utagoma?,
 
hivi hao udom huwa wanasoma muda gan,maana wao cku zote wako kwenye maandamano 2?
 
kuna mashoga humu JF badala ya kucoment on what is real goin on wanaleta ushoga wao hapa,IVUGA SENETOR N NEWDAWNTZ
 
Back
Top Bottom