wanafunzi wa siku hizi

gody5m

Senior Member
Jun 14, 2011
111
65
check conversation ya mwalimu na mwanafunzi alafu ungekua wewe ndo mwalimu.

Mwalimu:kati ya akili na hela unachagua nini,

mwanafunzi:mimi nachagua hela

mwalimu: huna akili kweli mimi ningechagua akili,

mwanafunzi:Ni kweli kila mtu anachagua asicho kua nacho

mmmh
 
kama mi ndo ticha nakasubiria nakakosesha hesabu nachapa
 
Back
Top Bottom