Wanafunzi wa HGE tuliomaliza a level 2011 Lyamungo nipo Mwanza, tuwasiliane tafadhali

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Nipo hapa mwanza kwa muda wa wiki moja,mliopo Vyuo vya mwanza naombeni tuwasiliane, ntakua hapa mabatini.Nismsni kwa 0785144285.Ntafurahi sana kuonana nanyi.BRAVO bY SIR .......MY NICK NAME.
 
Naombeni tuwasiliane ntakua mwanza ndani ya wiki 1.0785144285, mtanipata,tafadhali
 
Kwa nini usiwatafute wanafunzi wenzako huko Facebook? Halafu watajua wewe ni nani! Au hata shule ulikuwa unatumia jina hili? Wengine umesoma nao lakini walbkuwa hawakupendi.
 
Lazima tutofautishe JF na FB, ingekuwa u-membership wa JF unalipiwa au kupost 'thread' unalipia, sidhani kama ungepost huu u....! Hovyo.
 
Lazima tutofautishe JF na FB, ingekuwa u-membership wa JF unalipiwa au kupost 'thread' unalipia, sidhani kama ungepost huu u....! Hovyo.

We ndo ovyo na inaonekana ni mgeni jf hapo sio sehemu yakutafutana na hao mashoga zako uctujazie saver hapa alah...shwain kabisa next time utakula ban.
 
si kila swala inabidi ubishe au mufananishe na FB.Kama ujumbe huu ahukuhusi yanini kujibu.Ni wale wale wadoweaji.Mnakera kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom