tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Serikali imetoa Waraka wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2012 unaozuia wanafunzi wa DRS la VII, Form IV, VI na Diploma mwaka wa II kutofukuzwa shule/chuo kwani kufanya hivyo kunasababisha usumbufu kwa wanafunzi na wazazi.
Soma Hapa: Marekebisho Kufukuzwa Wanafunzi Waraka wa Elimu Na. 4 wa Mwaka 2012
Soma Hapa: Marekebisho Kufukuzwa Wanafunzi Waraka wa Elimu Na. 4 wa Mwaka 2012