Wanafunzi wa chuo walioomba mkopo wote wamepata?

muke ya muyahudi

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
399
179
Wadau nimeona ITV leo mkurugenzi wa NACTE katangaza wanafunzi wote walioomba mkopo mwaka huu wamepata, lakini nina ndugu yangu hajapata kabisa anahangaika ku-appeal sasa hivi, yeyote mwenye taarifa zaidi na jinsi ya kupata msaada wa haraka, yupo chuo cha Makumira Arusha, na Je kuna wengine waliokosa au ni yeye tuu? Ujanja jamani atumie njia gani asaidiwe?

Ahsanteni
 
Huyo jamaaa anajipendekeza kwa magufuli ni uongo mtupu huo watu kibao hawajapata mkopo halfu yeye anakuambia magufuli kaanza Na elimu eti wanafunzi wote wamepata mikopo wakati tunahangaika hatujapata yeye anautangazia uma tuna mikopo wakati yeye so muhusika kwenye bodi ya mikopo kila SKU wanafunzi wanaenda bodi wanaambiwa bajeti haitoshi
 
Yaani hii itasababisha kutoaminiana kati ya wanaosaidia(wazaz/walez/rafiki) na wanafunzi,maana taarifa zinazotolewa za kwamba wanafunzi wote wamepata mikopo wakati kuna wanafunzi wengi ninao wafahamu kwa sura na wengne kwa Majani wameshndwa kwenda CHUO kwakosa MIKOPO.
 
si waseme uyo mkulugenz mwaka 2013 2014 waljsainia majina 3000 tena kwa asilimia mia moja 4,000,000*3000 achunguzwe na ua wanapokea hongo kuanzia 300000_700000 il wale weny koz za non priolity yan heslb n jpu kubwa jaman lshughulikwe mapema
 
Wanajipendekeza hao,toka lini mkurugenzi wa nacte akawa msemaji wa HESLB,hovyoo kuna siku niliwah kumsikia katibu wa wizara ya fedha kuwa wamemaliza madai ya walim wakat wat tunadai huu mwaka wa nne,kila mwaka wanasema bado wanahakiki,nilitaman niipige TV teke,Jitu linasifia Hata VITU visivyokuwepo hooovyooo,!
 
huyu MKURUGENZI ni mwongo! kuna dogo hajapata mkopo hadi muda huu, na last time alipata na safari hii kakosa wakati hakuwa anarudia mtihani wala nini. Last time alipata kwa vigezo vya wazazi wote kufariki. sasa leo kakosa wanataka apate wapi mkopo? matokeo yake ya last semester yalishapelekwa Bodi lakini hakupatiwa mkopo! tena chuo ni hicho hicho Makumira!
 
Yaani hii itasababisha kutoaminiana kati ya wanaosaidia(wazaz/walez/rafiki) na wanafunzi,maana taarifa zinazotolewa za kwamba wanafunzi wote wamepata mikopo wakati kuna wanafunzi wengi ninao wafahamu kwa sura na wengne kwa Majani wameshndwa kwenda CHUO kwakosa MIKOPO.

mkuu unawafahamu watu wengine kwa sura na wengine unawafaham kwa.....?
 
jaman mi sijapata huo mkopo Ki ukwel ile kauli ilinikela sana nilimwangalia yule bwana kwa muda na suti yake ile kanikela kweli mwambie aache uupuuzi bana
 
Back
Top Bottom