Wanafunzi, Vijana na Wananchi Tukutane Mnazi Mmoja Ijumaa Tarehe 02/04/2011

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wananchi na hasa vijana tukutane Mnazi Mmoja Tarehe Ijumaa 02/04/2011 kushikana mikono kwa amani tukiandamana Kutoka Mnazi Mmoja mpaka Posta Mpya kupinga serikali ya CCM. Swala sio nani ameorganize ila ni vijana wote Tanzania na Tunanzia hapa mengine Yanakuja. Kinachitakiwa ni Kutawanya Habari kwa Vijana Wote Dar na Hasa Wanafunzi wa UDSM. Makundi mengine yaanzie sehemu tofauti kuelekea Posta. Sababu za kutaka CCM waondoke ni zifuatazo:
1. Kamati ya CCM kuamua kulipwa kwa Dowans wakati watanyaka hawalipwi vya kutosha na waliritaya mpaka leo wengi hawajalipwa
2. Kwanini serikali ya CCM inaendelea kusaini mikataba hewa kama ya Richmond kwa manufaa ya mafisadi
3. Mauji ya Arusha na vitendo vya CCM kujaribu kucover up ukweli
4. Katiba mpya na kuhusishwa kwa wananchi kuunda Katiba ya manufaa kwa wananchi wote
5. Uchakuchuaji wa CCM kumweka JK madarakani na wabunge wao
6. Umaskini unaoletwa na chama cha CCM kwa miaka 50
7. Tatizo la Umeme na upandaji wa bei za vyakula
8. Wizi na Siri katika Shirika la TRA na Bank Kuu ya yetu

"Maandamano ya Amani ni Haki ya kila Raia Duniani"

The right to form groups, to organise and to assemble together with the aim of addressing issues of common concern is a human right. The ability to organise is an important means by which citizens can influence their governments and leaders. The right to freedom of association and assembly is protected in international and regional human rights treaties. These rights are applicable to any issue. Mass protest is a potent symbol of the exercise of this right.

The right to freedom of association appears is guaranteed many international human rights treaties. However, the right has been most defined and elaborated in international labour law given the particular links between these rights and the ability of workers to secure their economic and social status. Freedom of association is one of the central provisions underpinning the work of the International Labour Organization (ILO). ILO standards uphold the rights of workers and employers to form organisations and to bargain collectively.

The Universal Declaration of Human Rights
 
mkuu... ungeeweza kusambaza huu ujumbe kama word of mouth kwenye mitaa zoezi lingeweza kuwa madhubuti sana..... online users wanaguswa sana lakini sio walengwa haswa wa matatizo.... wataitikia lakini baadae wataingia kwenye gari zao na Blackberry haoooo..... Tunisia na misri organizers wa revolt walitumia online tools kujimobilise na kutayarisha strategies na action plans
 
Tarehe 02/04/2011 au tarehe 04/02/2011?

Fafanua mzazi...
 
Wananchi na hasa vijana tukutane Mnazi Mmoja Tarehe Ijumaa 02/04/2011 kushikana mikono kwa amani tukiandamana Kutoka Mnazi Mmoja mpaka Posta Mpya kupinga serikali ya CCM. Swala sio nani ameorganize ila ni vijana wote Tanzania na Tunanzia hapa mengine Yanakuja. Kinachitakiwa ni Kutawanya Habari kwa Vijana Wote Dar na Hasa Wanafunzi wa UDSM. Makundi mengine yaanzie sehemu tofauti kuelekea Posta. Sababu za kutaka CCM waondoke ni zifuatazo:
1. Kamati ya CCM kuamua kulipwa kwa Dowans wakati watanyaka hawalipwi vya kutosha na waliritaya mpaka leo wengi hawajalipwa
2. Kwanini serikali ya CCM inaendelea kusaini mikataba hewa kama ya Richmond kwa manufaa ya mafisadi
3. Mauji ya Arusha na vitendo vya CCM kujaribu kucover up ukweli
4. Katiba mpya na kuhusishwa kwa wananchi kuunda Katiba ya manufaa kwa wananchi wote
5. Uchakuchuaji wa CCM kumweka JK madarakani na wabunge wao
6. Umaskini unaoletwa na chama cha CCM kwa miaka 50
7. Tatizo la Umeme na upandaji wa bei za vyakula
8. Wizi na Siri katika Shirika la TRA na Bank Kuu ya yetu

"Maandamano ya Amani ni Haki ya kila Raia Duniani"

The right to form groups, to organise and to assemble together with the aim of addressing issues of common concern is a human right. The ability to organise is an important means by which citizens can influence their governments and leaders. The right to freedom of association and assembly is protected in international and regional human rights treaties. These rights are applicable to any issue. Mass protest is a potent symbol of the exercise of this right.

The right to freedom of association appears is guaranteed many international human rights treaties. However, the right has been most defined and elaborated in international labour law given the particular links between these rights and the ability of workers to secure their economic and social status. Freedom of association is one of the central provisions underpinning the work of the International Labour Organization (ILO). ILO standards uphold the rights of workers and employers to form organisations and to bargain collectively.

The Universal Declaration of Human Rights

Siri ya mafanikio ya jambo kama hili ni wingi wa watu, na utayari wa watu kushiriki bila kujali kama serikali itatia ngumu. watanzania wako tayari kwa hilo? inafaa kujaribu namna hii? binafsi nadhani kuna haja kama great thinkers tukalijadili hilo kwanza. nadhani kujaribu kwa maana tu ya kujaribu, inaweza kuleta matokeo ambayo itafanya zoezi kama hili lishindikane katika siku za karibuni. lakini pengine tusiandikie mate wakati wino upo! mimi nitakuwepo, labda tuanze na DSM baadae tuone tutaorganise vipi mikoa kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Iringa. hii inaonekana kama ni mikoa ambayo ipo tayari kwa kazi ya ukombozi
 
Ninakuwa na mashaka na watu wanaoanzisha mada na kukimbia....Watu wanataka ufafanuzi wa mambo mbalim bali lakini jamaa kaingia mitini...BTW, wazo ni mujarabu kabisa, na limelenga tarehe nzuri...wakati wao wanaandaa sherehe za ccm, sisi tun akuwa tushamaliza kazi?
 
Wananchi na hasa vijana tukutane Mnazi Mmoja Tarehe Ijumaa 02/04/2011 kushikana mikono kwa amani tukiandamana Kutoka Mnazi Mmoja mpaka Posta Mpya kupinga serikali ya CCM. Swala sio nani ameorganize ila ni vijana wote Tanzania na Tunanzia hapa mengine Yanakuja. Kinachitakiwa ni Kutawanya Habari kwa Vijana Wote Dar na Hasa Wanafunzi wa UDSM. Makundi mengine yaanzie sehemu tofauti kuelekea Posta. Sababu za kutaka CCM waondoke ni zifuatazo:
1. Kamati ya CCM kuamua kulipwa kwa Dowans wakati watanyaka hawalipwi vya kutosha na waliritaya mpaka leo wengi hawajalipwa
2. Kwanini serikali ya CCM inaendelea kusaini mikataba hewa kama ya Richmond kwa manufaa ya mafisadi
3. Mauji ya Arusha na vitendo vya CCM kujaribu kucover up ukweli
4. Katiba mpya na kuhusishwa kwa wananchi kuunda Katiba ya manufaa kwa wananchi wote
5. Uchakuchuaji wa CCM kumweka JK madarakani na wabunge wao
6. Umaskini unaoletwa na chama cha CCM kwa miaka 50
7. Tatizo la Umeme na upandaji wa bei za vyakula
8. Wizi na Siri katika Shirika la TRA na Bank Kuu ya yetu

"Maandamano ya Amani ni Haki ya kila Raia Duniani"

The right to form groups, to organise and to assemble together with the aim of addressing issues of common concern is a human right. The ability to organise is an important means by which citizens can influence their governments and leaders. The right to freedom of association and assembly is protected in international and regional human rights treaties. These rights are applicable to any issue. Mass protest is a potent symbol of the exercise of this right.

The right to freedom of association appears is guaranteed many international human rights treaties. However, the right has been most defined and elaborated in international labour law given the particular links between these rights and the ability of workers to secure their economic and social status. Freedom of association is one of the central provisions underpinning the work of the International Labour Organization (ILO). ILO standards uphold the rights of workers and employers to form organisations and to bargain collectively.

The Universal Declaration of Human Rights
Dunia nzima mabadiliko huwa yanakuja kwa njia hii,na rais akiendelea kuwa kimya namna hii si shangai kuona yanayo tokea misri na tunisia yangu macho,naunga mkono hoja na nitakuwepo.umoja ni nguvu
 
Kalagha baho............. nakuhakikishia kama agenda ndiyo hizo hupati mtu ngo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hata huko misri na Tunisia hawajaweka agenda za maswala ya rushwa wala uchama. Wewe ukishaindoa CCM ndio katiba itaandikwa na watanzania au itaandikwa na CHADEMA, NCCR etc? Hujaona CUF waliandika yakwao huku wakisistiza kuwa ndiyo wananchi wanayoitaka? Ukitaka kuwaweka wananchi wote pamoja sema tu "hali ngumu ya maisha" hii ndiyo best agenda. Ninachoweza kusema hapa kwetu maadili hakuna kabisa na hivyo haa ishuke katiba au kiongozi kutoka mbinguni kama hatuta badilika tutaumia tu.

Mwisho natoa mwito kwa wananchi kutokubaliana na watu wachache ambao maslahi yao ya ungozi hasa CHADEMA wanaotaka kuwa viongozi kwa namna yoyote ile kama mbowe alivyosema anaandaa bajeti rasmi ya kuiadhabisha CCM bila kujali watakaokuwa wanateseka ni kina nani, watakaokufa ni kina nani. Namshangaa mtoa mtoa mada kusema Mauaji ya Arusha serikali inaficha ukweli lakini hasemi ukweli upi kwamba Dr. Slaa na Ndesamburo waliwahimiza wananchi kwenda kuwakomboa viongozi wao walioshikiliwa katika kituo cha kati?? Eti mbona siku ya maziko hakukua na fujo wakati polisi hawakuwepo? Ungejaribu kuafanya fujo uone cha mtemakuni, kwa taarifa yako tulikuwepo kiraia la kini tukiwa kamili na ingekua za moto tu!!!! pili siku ya mazishi kumbuka Mh. Lema wa Mh. Mbowe kila mara walikua wanawahimiza vijana kutulia ili waiabishe serikali ya CCM ikiwa na maana kama wangefanya hivyo siku ya tukia la vifo kusingetokea kilichotokea. Agenda ya CHADEMA tushaijua na wale viongozi wote wasiyowastaarabu wanaotumia mabavu kuliko akili na utashi na kuangalia maslahi ya wengi watakiona pamoja na wewe unayetaka kuleta uhuni hapa nchini.

Kumbuka hii nchi siyo ya CCM au CHADEMA ni ya watanzania wote na pia si nchi ya vyama viwili ni nchi ya vyama vingi. What is going on in Tunisa, Egypt and elsewhere will never happen in Tanzania nakuhakikishia.
 
na ni kwa nini bado mnasema kuilipa DOWANS badala ya kusema kumlipa ROSTAM AZIZ?
 
hapa topic ni hayo maandamano ,tupeane taarifa muhimu ya jinsi yatakavyokua na pia taratibu zote za kisheria zimefuatwa wanaharakati tukajumuike na sio ajenda zenu za cdm na ccm kama mr mabulangati hapo juu...
 
Kalagha baho............. nakuhakikishia kama agenda ndiyo hizo hupati mtu ngo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hata huko misri na Tunisia hawajaweka agenda za maswala ya rushwa wala uchama. Wewe ukishaindoa CCM ndio katiba itaandikwa na watanzania au itaandikwa na CHADEMA, NCCR etc? Hujaona CUF waliandika yakwao huku wakisistiza kuwa ndiyo wananchi wanayoitaka? Ukitaka kuwaweka wananchi wote pamoja sema tu &quot;hali ngumu ya maisha&quot; hii ndiyo best agenda. Ninachoweza kusema hapa kwetu maadili hakuna kabisa na hivyo haa ishuke katiba au kiongozi kutoka mbinguni kama hatuta badilika tutaumia tu. </p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Mwisho natoa mwito kwa wananchi kutokubaliana na watu wachache ambao maslahi yao ya ungozi hasa CHADEMA wanaotaka kuwa viongozi kwa namna yoyote ile kama mbowe alivyosema anaandaa bajeti rasmi ya kuiadhabisha CCM bila kujali watakaokuwa wanateseka ni kina nani, watakaokufa ni kina nani. Namshangaa mtoa mtoa mada kusema Mauaji ya Arusha serikali inaficha ukweli lakini hasemi ukweli upi kwamba Dr. Slaa na Ndesamburo waliwahimiza wananchi kwenda kuwakomboa viongozi wao walioshikiliwa katika kituo cha kati?? Eti mbona siku ya maziko hakukua na fujo wakati polisi hawakuwepo? Ungejaribu kuafanya fujo uone cha mtemakuni, kwa taarifa yako tulikuwepo kiraia la kini tukiwa kamili na ingekua za moto tu!!!! pili siku ya mazishi kumbuka Mh. Lema wa Mh. Mbowe kila mara walikua wanawahimiza vijana kutulia ili waiabishe serikali ya CCM ikiwa na maana kama wangefanya hivyo siku ya tukia la vifo kusingetokea kilichotokea. Agenda ya CHADEMA tushaijua na wale viongozi wote wasiyowastaarabu wanaotumia mabavu kuliko akili na utashi na kuangalia maslahi ya wengi watakiona pamoja na wewe unayetaka kuleta uhuni hapa nchini. </p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Kumbuka hii nchi siyo ya CCM au CHADEMA ni ya watanzania wote na pia si nchi ya vyama viwili ni nchi ya vyama vingi. What is going on in Tunisa, Egypt and elsewhere will never happen in Tanzania nakuhakikishia.

We need a Tanzanian uprising, a stronger one.
 
Back
Top Bottom