Wanafunzi UDSM wafa Njaa!

WanaJF, kuna tetesi kuwa, mpaka sasa ni wiki ya tano inaingia tokea mhura wa pili ulipoanza lakini bodi ya mikopo haijaweza kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu,.
Hii sio kweli Lazima Kunji ingemwagwa ,pale naamini hapa wanafunzia wanajua wao ndo chanzo kama sio basi SERIKALI IMSHINDA KATIKA MKAKATI WA KUJENGE TAIFA LA WAOGA NA akina NDIO BWANA wakianzia kwa wadogo zetu.Hii Enzi zetu isingevumilika!!!!
 
wengi tu, rafiki yangu ni mfano mmojawapo. Ukitaka data zaidi utapata subiri zinakuja.
Mimi ninaendelea kuzisubiri hizo data, especially from you. Ni vyema ukatuambia tusubiri kwa muda gani.
 
nilikua hosteli za Mabibo last week....inatisha...kwa wazazi masikini wenye watoto wa kike pale...tatizo ni kubwa....MLO MMOJA UNATOSHA, NAWAAMBIA..
 
lazima tufikiri tulikotoka nikimaanisha kwenye familia zetu! tuishi kulingana na uwezo tusiishi kama flani anavyoishi tumetofautiana jamani. tatizo kubwa tulilonalo wanachuo kutaka ufahari wakati hali zetu duni. tunatumia vibaya boom kwa starehe na mambo yasiyo na msingi hela inawahi kuisha kabla ya muda. au tunataka serikali iwe inatupa kila siku elfu tano? tujifunze kutumia fedha vizuri jamani. msomi daima anapanga bajeti yake kisomi.
 
It seems to me like posts #8 ndio bottomline. Nway mwenye upande wa pili wa habari alete, lakini majungu will never do.
 
Unapoongea bodi ya mikopo unagusa zaidi ya wanafunzi. Bodi hii kwa kipindi imekuwa kikwazo kikubwa sana na wakati mwingine migogoro vyuoni husababishwa na wao, unapochelewesha pesa ya chakula na makazi kisaikolojia unamwandaa mhusika kukabiliana na ukata huo kwa namna anavyoweza hata ikiwa ni kushinikiza mgomo.

Na kwa sasa bodi imeanza mtindo wa kuwagawa wanafunzi wanaokopa, kwa mfano katika chuo cha MNMA ni wakopaji wenye akaunti benki za NBC na NMB pekee ndo wamepata pesa, benki nyingine kama CRDB na POSTA bado hakuna pesa.

Mtu anapokuwa na mawazo ya kwamba pesa za bodi zilipandwa DECI sidhani kama unaweza kumbishia sana kwani uvunaji ulisitishwa na urudushishwaji wa pesa unafanyika kwa awamu

Bodi ya mikopo ni tatizo na kwa kuwa hakuna mbadala labda mabenki ndo yawe yanatoa mikopo


HIVI HUU NI UCHANGIAJI AU MKOPO
 
Wanafunzi nao vp wanshindwa kudai haki zao...mkopo ni haki yao ya msingi kupewa kama serikali inabaki kimyaa na wao wanafunzi wanabaki kimyaa basi nasi tuwaangalie tu.
 
Wanafunzi nao vp wanshindwa kudai haki zao...mkopo ni haki yao ya msingi kupewa kama serikali inabaki kimyaa na wao wanafunzi wanabaki kimyaa basi nasi tuwaangalie tu.

Ndugu rejea post yangu #8. Wanafunzi wengi kama sio wote walishalipwa hela zao za kufikia mid June. Kumbuka semester ya pili ilianza mid April hivyo hela ya miezi miwili waliyolipwa (sh. 300,000) inatakiwa kuisha kwenye mid June na ndipo board watoe pesa zilizobaki (sh. 300,000) for June/July and July/August ili wamalizie semester. Kama wameshindwa kutumia sh. 600,000 kwa miezi minne (Feb/March, March/Apr, Apr/May na May/June) je wakipewa hiyo sh. 300,000 iliyobaki waitumie kwa miezi minne wataweza?
 
Nch yetu haijali wanfunzi walioko vyuoni,wamesahau kuwa sisi ndo tanzania ya kesho.Poa wakubwa.
 
Sasa inabidi wanafunzi wote wapewe course (during orientaion?) namna ya kumanage personal finances!

saa ingine boom likitoka: wanakunywa nazo pombe na wanawake zinaisha, wanabaki hawana senti!

sasa hapo utalaumu Bodi ya Mikopo?
 
WanaJF, kuna tetesi kuwa, mpaka sasa ni wiki ya tano inaingia tokea mhura wa pili ulipoanza lakini bodi ya mikopo haijaweza kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu, na hali ni mbaya haswa kwa dada zetu na wale watoto wa masikini wasiokuwa na ndugu hapo dar. Wanafunzi sasa hawawezi kusema kwani wanaogopa kufukuzwa tena. Hebu nisaidieni ni kweli jamani, serikali pamoja na uongozi wa chuo haujui kuwa hawa ni binadamu kama wao wanahitaji kujikimu ikiwa ni maradhi pamoja na mahitaji mengine ya kibinadamu. kazi kwenu wanaJF najua mnajibu zuriii, ambalo laweza hata kuwasaidia hawa wenzetu. Ikiwezekana, kama kunamwanaJF mpiganaji huru atembelee kimya kimya aulize atupe habari kamili ili tujue hatuna serikali siku hizi. Karibuni kwenye mjadala huu.


At the risk of sounding like laying blame on the victim, in the famous words of Benjamin Franklin "Those Who Sacrifice Freedom For Security, Deserve Neither".

Whither DARUSO?
 
Hii sio kweli Lazima Kunji ingemwagwa ,pale naamini hapa wanafunzia wanajua wao ndo chanzo kama sio basi SERIKALI IMSHINDA KATIKA MKAKATI WA KUJENGE TAIFA LA WAOGA NA akina NDIO BWANA wakianzia kwa wadogo zetu.Hii Enzi zetu isingevumilika!!!!



Tangu mzee Punch afariki dunia pale UDSM basi hakuna wakuongea, wote waoga kama mikondoo inayopelekwa zizini!! Hawawezi kugoma tena wala kuongea kwani traitors wamekuwa wengi. Na dawa ya vyuo ili kupata haki ni lazima pressure group, na kwa kuwa hakuna hiyo then it is over , watalia , watalalamika, wasichana watajiuza, wanaume watakula mikate hadi mwisho!! It is sad , But that is our government we elected.!!!!
 
Nani wa kuwajibika kwa hawa wanafunzi?

JK yuko Denmark/SA, Pinda yuko Sumbawanga! Waziri wa Elimu yuko Same ktk kuwatafuta wavuvi haramu!

Kwa nini hadi ichukuwe wiki 5 bila hatua? Je serikali inajali?

Sasa hii kama ni kweli badi kiboko, ina maana amekwenda jimbo lake ama ndio ameende kuangalia zile biashara na kampuni zake za uvuvi kama ndio zimekamwatwa alizoanzisha akiwa Wizara ya Utalii.

Kuhusu Boom la wanafunzi mimi nafikiri serikali iangalie upya uongozi wa HESLB maana naona kama hili ni tatizo sugu na inaonekana ni kama halitaisha leo wala kesho
 
mzee andindile, umeiweka vizuri sana hii issue. pase kwa mwanafunzi haitunziki. ukiwa nayo na si wakati wa shule. utashngaa imekwisha ulichotumia hukioni.
Pia pesa wanayopewa ni kidogo sana. ilitakiwa walipwe walau 300,000 kwa mwezi.
 
wakati nasoma ile hela y bod tulikuwa tunaiita hela ya majini,maana ikitoka huoni inakoenda

wapewe hela zao wanaumia sana, matokeo yake tulioanza kazi majuzi tunapigwa mizinga ya kufa mtu na wadogo zetu pale mlimani

na wao wakizipata wazitumie vizuri,maana najua wengi wanatumia vibaya sana.
siku hizi hakuna serikali,nchi hana mwenyewe hii.
 
Hao vijana kufa njaa, sababu ziko wazi zingine ni personal na zingine ni
mfumo mbovu na wa kikiritimba na kandamizi wa bodi ya mikopo.Lakini uchaguzi unakaribia utawaona wamejazwa kwenye malori na mabasi wakipelekwa lunch diamond Jubelee kama walivyofanyiwa 2005.If you're not careful enough, kupata degree siyo kuelemika kama ambavyo wengi wanavyofikiri,never.sasa kama siyo kama wanakijiji wa kijiji cha Mwabaruhi kule Sengerema, how comes wanazuoni wabebwe kwenye magari kisa wanaenda kupata lunch na kuipigia CCM kura kilaini kisha wanaanza kupiga miayo, waendelee kupiga kupiga miayo watakula September 2010 uchaguzi ukikaribia kama kawida yao.shame up on you................................
 
Back
Top Bottom