Wanafunzi udom wapanga mazito

LWAKAPISI

Member
Mar 31, 2011
46
4
Katika kinachoonekana ni kujitetea wanafunzi wa UDOM kitivo cha elimu wa mwaka wa 1&2 wameapa kutofanya mitihani yao ya mwisho wa muhula mnamo mwezi july kama hela za field zitakuwa hazijawekwa kwenye akaunti zao.Wakiongea kwa hisia kali wamesema vyuo vingine km UDSM, SAUT, SJUT etc hela hizo uingia wkiwa vyuoni ila ni udom tu ambapo mambo tofauti.Wamesema hayo ni hujuma za uongozi wa chuo na viongozi wa UDOSO kuwa mazuzu.Wakiwa mitaa ya block Q wanafunzi wachache hao wamedai mkakati huo upo na safari hii lazima kieleweke.Licha ya hao mimi km mdau wa udom(coed)nimeshaona dalili za wazi kabisa za wanachuo hawa kufanya vile.Hii ni kutokana na chuo hiki kuongozwa kisiasa sana,MFANO wakati mkuu wa chuo hiki pro:KIKULA anamaliza mgomo wa COED tarehe18.1.2011 alisema ndani ya wiki2 wangeongeza vitabu,ambulance,matanki ya maji ila hadi leo hakuna kilichoongezwa.:drum:
 
Back
Top Bottom