Wanafunzi udom walia njaa, bodi ya mkopo imewasahau/ watelekeza!!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa wanafunzi zinakuja lini wala wanasaini lini angalau waishi kwa matumaini! Na kwa mfumo wa sasa, hata majina yakija leo ili watu wasain, kuna wiki moja mbele!

Mawaziri wanakula pesa tuu! Hawa vijana wanaambiwa Pesa hakuna!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom