malizia kabisa na degree yako uganda bongo kusha changemsaada jaman
kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially uganda...Tuna omba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anaye faham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
msaada jaman
kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially uganda...Tuna omba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anaye faham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
life in uganda is to simple na shaur ata waliokosa hizo 2PRINCIPAL PASS wa apply UG na Zambia,Kenya kuliko kusota na diploma ambayo una uhakika kama utaikuta 3.5 gpaYanini upate taabu si uunganishe tu Vyuo Vikuu vya huko huko? Watu wengine mnapenda mno complications na sasa zinawagharimu.
life in uganda is to simple na shaur ata waliokosa hizo 2PRINCIPAL PASS wa apply UG na Zambia,Kenya kuliko kusota na diploma ambayo una uhakika kama utaikuta 3.5 gpa
yap kaka elimu ya ug ni simpo ndo mana wengi wanaenda uko na div 4 za form 4 na kuendelea na form 5 na kuhusu ilo swala la kudhalaulika si kwel njoo mwanza hujionee mwenyew graduate weng mbona ni wa ug collegeNaomba ufafanuzi kwa kauli yako kuwa " life in Uganda is too simple " unataka kumaanisha kuwa Elimu ya Uganda ni mbovu / mchekechea au ni very cheap? Nasubiri jibu lako ili " nitiririke " nalo vizuri kwani binafsi nimepita huko 1996 - 1999 na 2000 - 2001 na najua thamani kubwa ya Elimu ya Uganda na vile vile nitaweza kukupa sababu ya kwanini Watanzania wa sasa wanaokwenda kusoma Uganda wakirudi huku wanakuwa siyo competent na sometimes wanadharaulika. Nawaheshimu sana Waganda kwa Elimu yao and I am proud of them.
yap kaka elimu ya ug ni simpo ndo mana wengi wanaenda uko na div 4 za form 4 na kuendelea na form 5 na kuhusu ilo swala la kudhalaulika si kwel njoo mwanza hujionee mwenyew graduate weng mbona ni wa ug college
Kusoma tz ni shida kwakweli, huu ushauri mzuri Sanalife in uganda is to simple na shaur ata waliokosa hizo 2PRINCIPAL PASS wa apply UG na Zambia,Kenya kuliko kusota na diploma ambayo una uhakika kama utaikuta 3.5 gpa
Andaa laki na nusu (elfu hamsini kwa kila subject) nenda necta wafanye "equation". Kwa kawaida A ya kule ni A ya huku, B=B na C=C.msaada jaman
kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially uganda...Tuna omba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anaye faham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
HIV NI KWEL MKUU? ME NAONA KAMA ZA UGANDA ZINASHUKA UKI CONVERT NA ZA KIBONGO ILA BONGO KWENDA UG ZINAPANDAAndaa laki na nusu (elfu hamsini kwa kila subject) nenda necta wafanye "equation". Kwa kawaida A ya kule ni A ya huku, B=B na C=C.
Kasheshe ni kwenye form 4 utakoma nani alikwambia ukasome nje ya nchi!
Not true, ni kama wengine wanavodanganyana ati elimu ya kenya na Uganda ni ndogo kulinganisha na tz, wakati walimu toka huko ndo wamejaa medium and international skoolHIV NI KWEL MKUU? ME NAONA KAMA ZA UGANDA ZINASHUKA UKI CONVERT NA ZA KIBONGO ILA BONGO KWENDA UG ZINAPANDA
Kijana hapo kwenye neno " simple " ndiyo unanitesa. Hebu eleweka basi vizuri ili tusichoshane zaidi tafadhali!
Not true, ni kama wengine wanavodanganyana ati elimu ya kenya na Uganda ni ndogo kulinganisha na tz, wakati walimu toka huko ndo wamejaa medium and international skool
Kenya life is so expensive... ada kwanza na basic needs unasanda. Maybe Ugandalife in uganda is to simple na shaur ata waliokosa hizo 2PRINCIPAL PASS wa apply UG na Zambia,Kenya kuliko kusota na diploma ambayo una uhakika kama utaikuta 3.5 gpa
Uganda high school education yao iko chini, sishauri mbongo atoke Huku aende huko kusoma maybe college. In East Africa nchi yenye viwango bora ni Kenya. Ndo maana ukisoma Kenya uje bongo unakubalika ila ukisoma Uganda wanakudharau coz tumewazidiHIV NI KWEL MKUU? ME NAONA KAMA ZA UGANDA ZINASHUKA UKI CONVERT NA ZA KIBONGO ILA BONGO KWENDA UG ZINAPANDA
wa uganda wengi vyeti feki tupuuuuMsaada jamani,
Kwa wale wanafunzi waliosomea nje ya nchi especially Uganda tunaomba msaada jinsi ya ku apply TCU kwa anayefaham coz mwaka huu inakuwa ngumu kufanya application na hawajatoa sababu yoyote.
Umeweka na chajuu nn" gharama ni elfu 50 tu kubadili matokeo necta baada ya wiki unayapata then unapeleka TCU baada ya hapo ndio una apply..lakini kama form 4 ulikua huna Credit 3 yani C tatu basi ndugu apply deploma tu. Degree hakuna tena hapoAndaa laki na nusu (elfu hamsini kwa kila subject) nenda necta wafanye "equation". Kwa kawaida A ya kule ni A ya huku, B=B na C=C.
Kasheshe ni kwenye form 4 utakoma nani alikwambia ukasome nje ya nchi!