Wanafunzi SINGIDA

Rabi wa Leo

Senior Member
Mar 5, 2012
104
25
Jamani kama kuna wanafunzi wa
Vyuo vifuatavyo anayetoka Mkoa
wa SINGIDA naomba anitumie jina
lake kupitia 0763305605,kuna
jambo muhimu la kujulishana...
1.University of Dar es Salaam
(UDSM),DUCE,MUCE,COET n.k..
2.Ardhi University (ARU)
3.IFM
4.Dar es salaam Institute of
Technology(D.I.T)
5.St.Joseph University dsm campus
6.MUHAS
7.Mzumbe University(dsm branch)
8.KIU(dsm branch)..
Na vyuo vingine VYOTE vilivyoko
mkoa wa Dar Es Salaam
NAOMBA SANA SANA SANA
TUWASILIANE..
UKIPATA TAARIFA HII,MUARIFU NA
MWINGINE..
 
kama ni mchakato wa M4C....ngoja nimpigie Kenny....yupo UD na anatoka Singida.....zaidi ya hapo....soree..
 
hahaha!
ila huu ni utapeli pia!
jamii ya kisomi haiendi kimafumbomafumbo!
kama una jambo muhimu liweke hapa tulijadili!
kwa style yako hii ina maana jf haina umuhimu kuwepo!
wewe wa wapi khaa!
 
hahaha!
ila huu ni utapeli pia!
jamii ya kisomi haiendi kimafumbomafumbo!
kama una jambo muhimu liweke hapa tulijadili!
kwa style yako hii ina maana jf haina umuhimu kuwepo!
wewe wa wapi khaa!

Haina maana hiyo kaka.,co jambo la kujadili bali linakuja kama taarifa na tangazo,bt yale yatakayokuwa na umuhimu kujadili tunaweza kuyaweka mezani,ondoa shaka.
 
Kwa nini kwa walio Dar peke yake?? Mie niko Moshi. Tunaweza kuwasiliana, maana wiki ijayo nitakuwa Dar kwa siku tano.
 
Kwa nini kwa walio Dar peke yake?? Mie niko Moshi. Tunaweza kuwasiliana, maana wiki ijayo nitakuwa Dar kwa siku tano.

Co dsm peke yake actually,tumefanya hv kwa kuanzia tu,bt tutawahusisha wote nchi nzima..Haswaaa...naomba pia unitafute kupitia 0763305605..Nitafurah kuwasiliana nawe..
 
Back
Top Bottom