Wanafunzi mwaka wa kwanza huo Kikuu cha Ruaha university college nako wagoma leo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385



Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Ruco wakiwa katika mgomo leo wakishinikiza bodi ya mikopo kuwaingiza fedha zao za kujikimu kiasi cha shilingi 300,000 kama ilivyokuwa katika vyuo cya Mkwawa cha Irinda na UDOM cha Dodoma hivi karibuni.
Picha Na Francis Godwin
 
serikali haina pesa za kuwa lipa, ila inapesa kidogo tu za kuwa lipa dowans(rostam aziz & co) na kulipa madeni yaliyo sabishwa na kampeni za kifisadi
 
Back
Top Bottom