Wanafunzi karatu sec school watimuliwa kwa kushindwa kulipa ada na kwenda mahindi,maharagwe shule

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
wanafunzi wapo kwenye maandalizi ya mtihani wa mwisho kumaliza kidato cha sita,mwalimu unawarudisha nyumbani kisa hawakuja na mahindi au maharage shule,vipi hii sera ni ya serekali au ni dili la walimu?inasikitisha sana kama elimu ya bongo ndivyo inavyopatikana.nimekutana na mwanafunzi mmoja akiniomba lifti ya kumfikisha arusha mjini.inasikitisha sana kama mambo yenyewe ndio dili dili dili,mpaka kwenye urithi pekee ulibaki,kwani wanyama na madini yote mmemaliza mpaka ardhi sasahata elimu?
 
Mimi nilisoma karatu enzi zb mwalimu mbise tulikuwa na mashamba na bustani nyingi sana tulifuga hadi kitimoto chakula hakikukosekana. hawa waalimu wameshindwa kuisimamia shule kufikia kubeba chakula. aibu.
 
Back
Top Bottom