wanafunzi hawa ni wanamapinduzi

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
kwanza napenda kuwapongeza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaopigania haki zao. nimefuraishwa na ujumbe wa mabango yao kwamba kama serikali ina mabilioni ya kulipa mafisadi wanakosaje fedha za kuongeza posho? madai ni ya msingi maana vyakula vimepanda sana hadi dada zetu wanajiuza wajikimu. nilikuwa nimekata tamaa na kizazi hiki ila sasa naamini ni kikazi cha kimapinduzi na naamini kupitia kizazi hiki tutaibwaga ccm na kupata utawala unaojali watu na kupiga vita ufisadi
 
exaggeration and lies.. hawa wanataka wapewe 10,000 instead of 5,000 thats all.
 
Sidhani kama nia yao ni ya kisiasa. Nia yao ni 10,000 or more. Kweli 5,000 haitoshi hata kama utapewa usafiri, sabuni na ukalipiwa nyimba, bado elf5 haitoshi. Realistically, 15,000/= ingeweza kufaa kwa sasa.
 
jamani tukumbuke CHAKULA ,MALAZI NA MAVAZI NI MAHITAJI YA MSINGI KWA BINADAMU WOTE. WANASTAHILI KUDAI NYONGEZA.
 
maji 1000
chai 1000
mchana 2000
usiku 2000

hapo ndio mtu kajibana kuliko maelezo, lakini akinywa chupa mbili za maji na kula vizuri kidogo ngoma inadon doka kwenye 15000
 
maji 1000
chai 1000
mchana 2000
usiku 2000

hapo ndio mtu kajibana kuliko maelezo, lakini akinywa chupa mbili za maji na kula vizuri kidogo ngoma inadon doka kwenye 15000

ongeza mawasiliano(vocher) 2000/=,nauli kwenda na kurud mabibo 500/= pango 500/=
 
ongeza mawasiliano(vocher) 2000/=,nauli kwenda na kurud mabibo 500/= pango 500/=
waandishi wahabari fanyeni kazi ya habari na sio siasa,ephrem kibonde anafanya kazi ya ukada wa ccm ndani ya media tena anatukana watu wakidai haki zao kwa manufaa ya nchi sio ccm,nina wasi na elimu yake hajui kabisa maadili ya kazi yake,kumbe antivirus imeeleza ukweliiiiii...jichunge bro ni hayo tu.
 
maji 1000
chai 1000
mchana 2000
usiku 2000

hapo ndio mtu kajibana kuliko maelezo, lakini akinywa chupa mbili za maji na kula vizuri kidogo ngoma inadon doka kwenye 15000

Huwezi kupika mwenyewe ukasave hizo fedha za chakula?
Huwezi kuchemsha maji ukasave kununua maji?
Na vocha ya kuzungumzia upuuzi kwa girlfriends/boyfriends wenu pia munataka mulipwe na Serikali?


Wanafunzi wa Kitanzania hasa wanaringa sana, mutanisamehe kwa hilo.
Angalieni nyinyi huku nje kumoto kweli kweli, kuzipata hizo laki moja na nusu ni kazi ya kweli. Muangalieni mama ntilie au muuza genge anavyofanya bidii ya kupata net ya sh. 5000 kwa siku!
 
Back
Top Bottom