Wanafunzi Elimu ya Juu

MndemeF

Member
Jan 15, 2011
35
5
Bado nipo na nyie wanafunzi wa elimu ya juu. Kumbukeni ya kuwa ninyi ndio chachu ya mabadiliko yoyote ndani ya nchi. Hivi kwanini msianzishe maandamano kuhusu hali mbaya ya uchumi kama vile kupanda kwa bei ya vyakula, maji, umeme na mambo mengine mengi tu ambayo yanamgusa kila mtanzania. Mkianzisha hayo basi tupo tayari kuwaunga mkono. Lakini eti kwa masilahi yenu tu, huo ni ubinafsi. Hivi unafikiri bibi yako kule kijijini nani atamtetea? Jifunzeni kwa wenzenu wa nchi nyingine bwana.

Nipo na nyie tu mpaka mtakapokuwa kweli wa "Elimu ya Juu".
 
Sawa bwana mtoa hoja, kuwa jamii ya wanafunzi ni chachu ya mabadiliko, lakini wananichefuwa wanavyovaa kwa kuiga watu wa ughaibuni pasi kuchuja yaifaayo jamii yao. Je, maajuza na wakombe wataandamana lini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom