Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,050
- 605
sioni kosa lao. Kama ni kulala wengi aliyewaruhusu ndio mwenye kosa.
kawaida ye2 wanafunz chuon kudiscus ata 50 chumba kimoja! Ila kesi hii tofaut kaka! Au ujachek mada juu? Wanafunz wa chuo kipo sinza wamekamatwa dodoma! Ata kama ni diskashen! Wapi na wapiKwa wanafunzi wa chuo ni kawaida kabisa kuwa wengi katika chumba kimoja hasa kipindi hiki cha mitihani ya mwisho. Mbona tulikuwa tunadiscuss usiku kucha hata watu kumi ndani ya chumba kimoja?? Mambo mengine ni kuwadhalilisha vijana bila kosa.Labda kama kunazaidi ya hapo...
hahahaha ni kama unasema mtu kabanwa haja kubwa kibaha,kakosa choo kaenda kutafta joo ubungo. . Wakat ata kibamba angeenda kutafta chowalikua group discussion. Labda chuoni hamna umeme
Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
Sheria za hotel...
Sasa hao si watu wazima, polisi nao bana kukatisha tu starehe za watu.
kawaida ye2 wanafunz chuon kudiscus ata 50 chumba kimoja! Ila kesi hii tofaut kaka! Au ujachek mada juu? Wanafunz wa chuo kipo sinza wamekamatwa dodoma! Ata kama ni diskashen! Wapi na wapi
Ungezungumzia kwa hoja nyingine ningekuunga mkono, lkn hili unalosema si kosa lao ni la mwenye nyumba ya wageni, ameruhusu vipi yote na akaikosesha Serikali mapato? Na pia swali la ziada je chumba cha watu wawili akipanga mtu mmoja itakuwa kosa, hebu askari wetu warudi shule.Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.
Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
Mambo mengine ni ya kijinga sana.
Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!
This is bull shit!!
Sasa hao si watu wazima, polisi nao bana kukatisha tu starehe za watu.
kweli kabisa, siunajua tena sasa hivi dodoma kuna umeme wa kutosha?walikua group discussion. Labda chuoni hamna umeme
halafu iwejeTunaomba uwataje majina, ili wajulikane.