Wanafunzi 7 watimuliwa Umbwe Sekondari

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
7
Wanafunzi saba wa kidato cha nne shule ya sekondari umbwe wametimuliwa kwa makosa ya uvutaji bangi na wizi uliokithiri. hiyo imeamuliwa leo na bodi ya shule hiyo. imesemekana wamepewa adhabu hiyo baada ya kuonywa sana lakini wakashindwa kujirekebisha
 
Mambo Lyamungo,mzima wewe?vipi tujuze bwana Lyamungo Secondary Maputo bado ipo na je duka la shule vipi?
 
maputo ipo kama kawaida harufu haibadiliki mabweni wameongeza chini ya uwanja na yale ya zamani yamewekwa vioo. duka lipo kama zamani
 
Ahaaaaahhh vipi swimmin pool,2linunuliwa Tv na Mbowe ipo?dah long sana/najua wengi hawapo Kilaza Shoo yupo?Nasikia bwana Mr Lyaruu alifariki"poleni sana wakuu"the guy was gud man.
 
Umesoma Lyamungo mwaka gani?pia mabweni mapya yanaitwa majina gani na wanakaa kina nani?LUMUMBA,SHABAN ROBERT,AGGREY mengine ni yapi?I was there 98'
 
Ahaaaaahhh vipi swimmin pool,2linunuliwa Tv na Mbowe ipo?dah long sana/najua wengi hawapo Kilaza Shoo yupo?Nasikia bwana Mr Lyaruu alifariki"poleni sana wakuu"the guy was gud man.
swiming ni mbovu, hajafa ypo mjini moshi anakula gd time na gari yake, shoo yupo shule ya jirani ni mkuu wa shule.
 
Mmmmhhh! Mi 1997 form four. Cwanyaki kabisa! Hata kw sura.
haumnyaki nani sasa? unamkumbuka nani wa mwaka huo? mimi namkumbuka ignatus mosten, gadiel, manase, salvatory, emmanuel ebenezer, kadio, eliezer rwekiza, fadhili lyamuya, mathias mosha, lugano nk. wewe je?
 
Ahaaaaahhh vipi swimmin pool,2linunuliwa Tv na Mbowe ipo?dah long sana/najua wengi hawapo Kilaza Shoo yupo?Nasikia bwana Mr Lyaruu alifariki"poleni sana wakuu"the guy was gud man.
<br />
<br />
Dah, Lyaruu a.k.a Master alifariki?
So sad.
 
Umbwe a.k.a mtii safi
hii skul inasifa ya kufujuzisha watu.
Hivi kwanza DUDU yupo kwani huyu ndo kinara wa kufukuza.
 
Wanafunzi saba wa kidato cha nne shule ya sekondari umbwe wametimuliwa kwa makosa ya uvutaji bangi na wizi uliokithiri. hiyo imeamuliwa leo na bodi ya shule hiyo. imesemekana wamepewa adhabu hiyo baada ya kuonywa sana lakini wakashindwa kujirekebisha
<br />
<br />
wameambiwa warudi kufanya mtihani wa 4m 4 ila wa advance wamesamehewa me nlikuwa ka mzazi hapo juzi inauma sana
 
Back
Top Bottom