Wanafunzi 5,000 Kujiunga na JKT:Maswali ya Kujiuliza...

Mkumbuke kuwa CCM wana maana sana kuanzisha JK-T. Hapa hakuna lolote bali kutengeneza watu wa ZIDUMU FIKIRA ZA MWENYAKITI. NIkiangalia viongozi wengi wa TZ ambao hawaezi kuoji wakati mwingine wakiwa wanaonewa ni wale wote waliopitia JK-T.

Nch inakaribia kurudi kwenye zidumu fikira za mwenyekiti. Wameona jinsi vijana wanvyoleta shida kwenye vikao vingi sasa wanataka kuwadhibiti

Wakati ule JKT ilisaidia sana kudumisha fikra kama unavozitaja.Katika mfumo wa vyama vingi, malengo ya kuanzisha tena JKT lazima yabadilike, ama sivyo chama tawala ndicho kinaweza kufaidika na mpango huu, kama usemavyo...
 
Haya malengo kwa JK---TII hii mpya hayapo wanataka kuturudisha kule kule, ambapo mtu ni mwizi kisa ni mkuu wako wa kazi unamuacha anaendelea kuiba. Walianza kufikiria JK-T baada ya kutiwa kashikashi wa na wabunge vijana
 
ukishatoka jkt hakuna kutii amri za kibwege. wafundishwe ujasir na kupiga vita ufisad. isijetokea wahitimu wa jkt ndo wanakuwa mafisad wenye ujasir na mbinu za kijesh watakaokuwa wanaji-organize kijeshi. itakuwa balaa
 
Mkuu JKT ni moja ya chombo ambacho watu wengi tulio wahi kupitia huko tutamkumbuka Baba wa Taifa milele, ni chombo kulicho kuwa kinawaunganisha Watanzania wote bila kujali ukabila, cheo nk.

Mimi ni mmoja ya watu waliosikitishwa kwa kusitishwa JKT - nilishangaa zaidi nilipo elezwa kwamba JKT ilisitishwa kutokana na Rais aliyekuwa madarakani wakati huo hakupenda mwanae aende JKT kupiga fang fang!! Sijui kuna ukweli gani katika madai hayo. Nashukuru Mungu kwa JK kurudisha JKT akiwa bado yuko madarakani - Bravo mkuu wa KAYA kwa kuona mbali.
 
Mkumbuke kuwa CCM wana maana sana kuanzisha JK-T. Hapa hakuna lolote bali kutengeneza watu wa ZIDUMU FIKIRA ZA MWENYAKITI. NIkiangalia viongozi wengi wa TZ ambao hawaezi kuoji wakati mwingine wakiwa wanaonewa ni wale wote waliopitia JK-T.

Nch inakaribia kurudi kwenye zidumu fikira za mwenyekiti. Wameona jinsi vijana wanvyoleta shida kwenye vikao vingi sasa wanataka kuwadhibiti

Mkuu nani kakwambia JKT walikuwa wanafundisha ZIDUMU sijui fikira za NANI? Mimi sikuwahi kusikia kitu kama hicho JKT, mambo unayo yaeleza humu hayana ukweli wowote ni adithi za kutunga tu, sijui una madhumuni gani? Unataka kuwatisha wenzako nini!

Unaweza kutoa kithibisho chochote cha kuonyesha kwamba viongozi wengi walio pitia JKT ni woga i.e hawana ubavu wa kuoji chochote hata wakionewa? Mimi nachukulia kauri zako kama zina kashfa ya aina fulani vile - 4 what if I may ask?
 
Ni kwa mujibu wa sharia dogo, kama hutaki unaacha lakini upande wa pili ni kwamba huwezi kupata ajira serikalini au kwenye shirika lolote la umma unless una cheti chako cha JKT.....!!

Naomba kuuliza, je wale ambao hawakuchaguliwa kwenda JKT hawatapata ajira? Ikiwa kama kuajiriwa serikalini ni lazima upite JKT. Pia ikiwa kama wanafunzi 5000 ndio waliochaguliwa, je hao ndio watakaoajiriwa serikalini? Je kama ni kwa mujibu wa sheria, iweje sheria isiwabane wanafunzi wote? Maswali ni mengi mno.
 
Serikali ingependa wote wahudhurie mafunzo ya JKT.Tatizo ukata....
 
Back
Top Bottom