Wanafunzi 27 wafukuzwa udom..

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?
 
typical dictatorship behavior,..tundu lisu akawatetee mahakamani,ni wahanga wa siasa za ccm
 
solid-ari-ty.....ipo wapi siku hizi kwa wanafunzi wa vyuo? students' union hamna hapo udom? TAHLISO imekufa au bado ipo?
 
Mpaka wanafikia wanafukuzwa ina maana hiyo UDOM haina Student Union???Nadhani hili swala inabidi lichunguzwe kiundani....maana kama mtu anapenda kitu fulani huwezi kumlazimisha apende unachopenda wewe.....
 
Naomba nianze kwa kutoa pole kwa wanafunzi waliofukuzwa na wanafunzi wa udom kwa ujumla kwani wanafunzi hao wamefukuzwa kwa sababu ya kudai mambo ya msingi kabisa lakini sasa imegeuzwa kuwa ni kibano cha wanafunzi kwa sababu ya kuunga mkono vyama vya upinzani hivyo kuvunja ndoa ya ccm kwan ilijenga udom kwa ajili ya kujipromote kisiasa zaidi na ushahidi wa ni mambo mengi kupelekwa kinyemela mfano hakuna special facult needs,no field,no research sasa hakuna walimu wa kutosha, urasimu unaondelea kwenye uongozi, wa chuo means no separation of power,kwa third year research unayotakia kwenda kufanyia sehemu kulingana na title yako kama ilivyo kwa vyuo vingine.huku udom ni tofauti research hiyo kwa course tatu ambazo zimebii allocated lazima ufanyie dodoma na ukidai kwanini haijaonyeshwa kwenye prospect ili loan board watoe hela wanakuambie nyie fanyieni research kama hamtaki haya poa ndio tutarecord sasa hapa kuna elimu bora umalize tu. Na ndio maana tunasema udom ni chuo kizuri kwa majengo lakini sio kwa elimu
 
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?

Special fucult requirement ni nini hasa? Nakumbuka late 80's wanafunzi Nairobi university walitimuliwa ,kisa walidai dialogue!
 
kama hakutakua na wanafunzi watakoingia mtaani kugoma hao warudishwe basi hata wanafunzi wanaosoma hapo wajijue kua hata hiyo elimu wanayosoma haina maana na watakua failures tu kwenye maisha! maana ya kuwa interllectual ni kuweza kupambua pumba na mchele na kuchukua hatua, kama baada ya tukio hili mwanafunzi wa udom unaingia darasani tu business as usual bila kuchukua hatua ni makosa sana!
 
Special fuculty requirement hivi ni vifaa ambavyo kadiri ya mitaala ya vyuo mwanafunzi LAZIMA apatiwe ili kuendelea vizuri na masomo hasa kwa vitendo. Katika prospectus CHUO hasa department husika ndio inatakiwa kuwapatia wanafunzi so hapo ubabe umefanya kazi. SIO SAWA KUWAFUKUZA WANAFUNZI KWA KUDAI HCHO KWANI NI HAKI YAO. HAPO HAKUNA CHA CHADEMA WALA NANI ni kuwa WAMEONEWA. Wanastahili kutetewa.

nafahamu wata warudihsa tu hasa nkikumbuka ndugu yangu B.Ntweve alivyofukuzwa mara kwa mara hapo Mlimani.
 
Mnajuaje inahusiana na chadema?cku hz mtu anakurupuka na kuandika anchojisikia bila full proof.vyuoni haya mambo yanatokea toka enzi hizo.kiukweli wameonewa ila student union ndo ya kuwatetea
 
Special fucult requirement ni nini hasa? Nakumbuka late 80's wanafunzi Nairobi university walitimuliwa ,kisa walidai dialogue!
Ni SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS. Maana yake ni "mahitaji maalum" katika kitivo alicho mwanafunzi. Kuna wanafunzi wengi wanadai hiyo tu ilimradi ni pesa lakini hawaelewi hata maana yake. Kazi ipo wasomi wa kisasa!!!!!!!!
 
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?

Siku zote hua naamini kuwa msomi au wasomi ni watu wenye uelewa mpana wa mambo na wana uwezo mkubwa wa kufikiri.sasa inanitia shaka Uwezo wa hawa wasomi wanaokurupukia siasa zenye madhara bila kutafakari kuwa jamaa wanasafiria kukurupuka kwao.Poleni mlio mfukuzwa.mliobaki kuweni makini na wanasiasa watakao waharibieni mitazamo yenu ya maisha
 
Wanafunzi mliosimamishwa masomo mnakazi. Kumbe Principal wa iyo CoI ni Prof. N. Mvungi. Nadhani wanafunzi waliofundishwa na Dr. N. Mvungi enzi izo pale Mlimani na hasa CoET akiwa mkuu wa CIT wanamjua vizuri ni mtu mwenye msimamo. Nimesoma kwenye gazeti la THE CITIZEN la leo likisema "WHY ARE OUR STUDENTS DEMANDING THERE LAPTOPS WHILE OTHERS DON'T HAVE THEM?" SHE EXPLAINED THAT IT WAS THE DUTY OF THE STUDENTS' PARENTS TO PROCURE LAPTOPS FOR THEM AND NOT THAT OF THE COLLEGE. SHE SAID THE COLLEGE HAD A WELL EQUIPPED COMPUTER LIBRARY, AND PROCURED OTHER COMPUTERS WHICH WERE YET TO BE INSTALLED. Kuna mapungufu ktk uhandishi sababu Prof. N. Mvungi ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom