Wanafunz elfu tsa wafutiwa matokeo alafu waende wap????

Davis julius

Member
Dec 12, 2011
9
1
Baraza la elimu limetangaza kuwafutia wanafunz zaid ya elfu tsa matokeo yao ya darasa la saba:sawa wamekosea kuigiliziana lakini wanafunz wte hwa wataenda wap 2kumbuke kwamba sio wazazi wote wenye uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule za watu bnafsi kwa maana hyo watoto hawa wataenda kuwa majambaz,wavuta bangi,wabakaji alafu serkali ije kuwakamata lakini nan kasababsha yote haya ni wao dis isnt fair at al..???? Hawa watu wanatengeneza matatzo ili watutawale dis is t!
 
Hv hii inavyowafukuza hwa wanafunz wte inategemea waende wap sio wazaz wte wnye uwezo wa kuwapeleka wtt wao prvt
 
Sasa jamani kama wanamatatizo lazima sheria ifanye kazi sasa we unataka wawachukue 2 hivyo X 2 hata kama wanamakosa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom