Wanafanana kwa lipi?

Kwa kwenda msikitini; kupenda uongozi bila kuwa na uwezo, kupendwa mwanzo na kuchukiwa na wananchi wao mwishoni, kuongoza nhci ki-sultani.
 
Kwa ulimbukeni wa kutokusoma alama za nyakati na kuuwa raia wasio na hatia.
 
Majambazi ya kisiasa. Wakati mwenzie ndo anang'oka JK nae hajui tutaamkaje kesho Watanzania!
 
Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia
 
Kujihisi wanapendwa na kukubalika kwa wananchi wao kumbe si hivyo hata kidogo
 
Wa kulia walau nchi yake kaiendeleza mwenzio ni sifuri
 
Kwa kuingiza familia nzima katika uongozi wa nchi na kuifanya Ikulu kuwa ya washkaji na wanafamilia

Huyu Sultani wetu alikweda Misri kwa Mubarak kujifunza jinsi ya kumuandaa mwanae [ Ridh....] aje kuwa mrithi wake atakapoondoka!! Inaelekea masomo aliyoyapata muungwana huko yanaweza kumfikisha pabaya kama alivyofikishwa mwalimu wake huko Misri!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom