Wanafaidikaje wanaofungua blog,Vituo vya Tv,Redio n.k

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wakuu,naomba mnijuze ili,Mtu akiazisha Blog,kituo cha tv n.k.anapataje faida?au kuna ruzuku yoyote anayoipata?asante kwa kuchangia kwa u serious.Nimeelewa
 
Mkuu nakushukuru kwa thread,hata mie nimekuwa nikijiuliza jambo hili,, michuzi,mjengwa,mbeya yetu blogs cjui nn pale iringa,,
 
nijuavyo matangazo wanayoweka ndio yanayowalipa-kama blog/website yako ni popular iatapata matangazo mengi na wewe utakuwa unacharge hayo matangazo-though nazani wanacount kila tangazo linapokuwa linafunguliwa(kwa blog/website)kwa redio/tv nazan kila tangazo linapokuwa linataja na muda linalokuwa linaonyeshwa.
 
Kama Rage mbunge, kuna wabunge wengi wenye redio kwa minajili ya kisiasa.Hata redio 5 na Tv 5 ya Arusha ni ya kigogo wa kisiasa.
Na mimi naanzisharedio na Tv yangu ili mwaka 2020 nigombee urais!!!
 
Back
Top Bottom