Wanadai ni "maksi za chupi"

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Vyuoni utasikia mwanadada mrembo akitokea darasa limemkubali na hashikiki wenzie huanza kumkandia ya kuwa hizo ni "maksi za chupi"

Hivi kuna ukweli hapo au ni wivu wa "sizitaki mbichi hizi" huku wakijua zimewiva?

Na mwanaume akiwa hakamatiki zinakuwa ni marks za nini?
 
kawaida story za vijiweni ingawaje saa zingine yasemwayo yapo na hapo ndo tunashindwa kutofautisha ukweli na uongo
 
Vyuoni utasikia mwanadada mrembo akitokea darasa limemkubali na hashikiki wenzie huanza kumkandia ya kuwa hizo ni "maksi za chupi"

Hivi kuna ukweli hapo au ni wivu wa "sizitaki mbichi hizi" huku wakijua zimewiva?

Kuna mabinti wengine wazuri wamejaliwa kila kitu. Uzuri wa kukata na shoka katika kila department ya uzuri halafu na akili za hali ya juu zinazowawezesha kufanya vizuri sana madarasani. Of course lazima watu watasema tu maana kwa watu kama hao mabinti wenye akili ni wale tu ambao katika kila idara ya uzuri huwa wanaambulia 0
 
Vyuoni utasikia mwanadada mrembo akitokea darasa limemkubali na hashikiki wenzie huanza kumkandia ya kuwa hizo ni "maksi za chupi"

Hivi kuna ukweli hapo au ni wivu wa "sizitaki mbichi hizi" huku wakijua zimewiva?

Endelea kijana bado post kidogo sana ugonge buku...........nina imani leo jua likitua utakuwa umetimiza elfu ya kwanza keep it up..
 
Sokomoko ebu tufumbue macho kuna ni nini hapo?

I am HERE wiselady najua lazima ukiona hizi thread za public policy analyst lazima unikumbuke kwa tabasamu heheheh
 
Mwenyezi Mungu alipogawa akili hakuchaguwa kwa uzuri au kuwa huyu ni wa kike au wa kiume.

Ajabu iliyoje binti akiwa hodari kuanzia darasa la kwanza hadi Form VI hakuna tatizo na wote wanashangiria kwamba amepata As zote.

Lakini hapo akigusa Chuo Kikuu tuu basi mambo hubadilika, ndiyo hayoooooo oooooh maksi za ch.......

Wacheni unafiki kuna Maprofesa akina mama wengi tuu akili inachemka kiuhakika na wanawanyanyasa hasa akina baba kwenye machapisho ya kitaaluma!
 
Back
Top Bottom