Wanadada tunalichuliaje hili?

mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?

unapigia jibu mstari. huyo it is obvious anashida ya kukuona iili umpe ngono kwa kuwa huduma hiyo haipatikani kwa simu. hilo mbona umelisema hata halihitaji mjadala???
 
kawaida hujenga mazoea,kama umemzoesha hivyo ndo itakua hivyo hivyo hata ukianzisha mijadala ya maendeleo atakushangaa kwa kweli na wala hataweza kukupa ushirikiano.cha muhimu ni wewe kama binti kuweka mcmamo tangu mwanzo.in short mwanaume wa hivyo hafai hata kidogo.mwenye macho haambiwi tazama hapo ni kusepa2
 
Mbona na nyie simu zote ni kuomba PESA tu, ukishampa anakuaga hata kuku beep hakuna
 
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?

Badilisha ToRs............ from future potential to present with no strings attached
 
Endelea kuwasiliana naye, punguza ku nanihii naye sababu nawe una muda wa kuhitaji, panga naye matembezi ya kutembelea ndugu zako mazungumzo yataonyesha nia yake kama anaoa au la
 
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?

Aaaanh unamwongelea yule jamaa ako anayekaa mwembe mchomeke???
Inamaanisha he's ngono'riented endelea kumpa mkojo ale raha zake
 
Sasa kwenye simu hua mnawasiliana nini kama hamuongelei kuhusu maisha yenu??
Hua unapewa hata kifuta jasho au unatumika tu??
Hapa kuna harufu ya ujasiriamali!! Kwa nini wasitafute AC badala ya usumbufu wa kufutana jasho?!
 
Huyo mshkaji mme wa mtu na wewe unalijua hilo, sasa ulitaka nn zaid ya ngono!!!

acha kuiba waume za watu
 
ulidhani ulitongozwa ili ufanyweje?
shukuru jamaa anatimiza main objective ya mapenzi yenu.

Hapo ndio namshangaa, kwani mtu anapokutongoza unadhani atakuwa kaka yako. Michengo lazima tena jiandae kwa sana tu. Asipokuridhisha unakuwa wa kwanza kulalamika, wacha asugue kisolokupwinyo hicho mpaka kiote sugu, uliyataka mwenyewe. We unataka future ipi? Maisha ni leo ya kesho huwezijua.
 
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?

Haa,sasa mtu wa aina hyo unamvulia nguo wa nn! na utafanyaje ngono ili kumplease mtu?
 
je mmeaanza uhusiano wenu kwa mazingira gani?ameshawahi kukutamkia kwamba anajupenda? Wengine mnaachia mizigo tu bila mwanaume kukwambia kwamba anakupenda. Pengine jama ana mpenzi wake ambae yuko mbali kwahio anakutumia kumaliza haja zake tu!
 
Back
Top Bottom