wanachuo wa UD KERO SANA

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Katika kutokujua nini haswa kilichowapeleka chuoni,baadhi ya wanachuo wa UD wanaonekana kupenda ngono na starehe sana kuliko masomo,na wale wasiojisomea wanafurahi sana wanaposhinda mtihani bila hata yakujua majukumu yao mbenleni ni nini.Januari kuna jamaa aliamua kuacha chuo wakati wa mitihani na kuhamia kwa jimama na sasa inasemekana yupo Mwanza anakula maisha kwa jimama.Inasikitisha kwani dogo alikua bright sana na ndugu zake kwa sasa wanahaha kumtafuta aliko.Hata kwenye simu hapatikani tena.hii shida kweli. saadieni ndugu zake ili waweze kumpata huyu dogo kwa mumfahuo
 
weka jina lake kamili, Picha, Shada anayochukua, na wajihi wake. Tutampata tu mwaza siyo mbali
 
huyo jamaa ndo ud nzima.. mbona unalalamika hvyo, cmz hyo nafasi ya kwenda mwnza ulikua unataman ikudondokee ww..
 
upo sahihi,lakini ingependeza hii post ingehamia jukwaa la elimu huko watanyooshwa.umenitoa kwenye mood ya kucheka!
 
Katika kutokujua nini haswa kilichowapeleka chuoni,baadhi ya wanachuo wa UD wanaonekana kupenda ngono na starehe sana kuliko masomo,na wale wasiojisomea wanafurahi sana wanaposhinda mtihani bila hata yakujua majukumu yao mbenleni ni nini.Januari kuna jamaa aliamua kuacha chuo wakati wa mitihani na kuhamia kwa jimama na sasa inasemekana yupo Mwanza anakula maisha kwa jimama.Inasikitisha kwani dogo alikua bright sana na ndugu zake kwa sasa wanahaha kumtafuta aliko.Hata kwenye simu hapatikani tena.hii shida kweli. saadieni ndugu zake ili waweze kumpata huyu dogo kwa mumfahuo

kipi kilichokukera thatha?
 
We hujasoma statistics. Yaani sample 1 kati ya watu 15000 unaamini wote wapo hivyo. Mbona mimi sipo hivyo? Kusoma ni muhimu na starehe zina mahali pake.
 
Is it a joke or serious issue mkuu! Japo mambo kama hayo yapo hapa bongo.
 
Wacha kijana ale maisha bana.. Elimu bongo? Maisha yenyewe yako wapi ???? Ajira zenyewe hamna! Dogo endelea kukamua jimama lako, siku hz kiuno chako ndio mtaji.
 
Chuo gani kisichokuwa na wasiojitambuaaa?Hata shule za kata watoto wanatoka kijij k1 lkn wanafanya ngono za ajab kwa hiyo usikionee UD TAFADHAL!!
 
wewe si useme ulitaka kusoma UD lakini ulishindwa ndio maana unaanza kuiponda mtu mmoja ndo akufanye uweke conclussion ya UD nzima....hauoni vyuo vinavyoongoza nini?:thinking:
 
Back
Top Bottom