Wanachama wenzangu wa Liberation Party CDM.. Km nimekosea mnisamehe..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Sina imani sana na Mabere Marando.. Naona kama yupo kifedha zaidi.. CDM yetu kupitia Dr. Slaa ndo iliibua hoja ya ufisadi wa BOT kupitia EPA na kumtaja Manji km muhusika kupitia KAGODA.. Sasa leo kwnye habari ya Saa 2 usiku ITV Mabere ametajwa kama mtetezi wa Manji katika kesi ambayo inarandana na masuala ya EPA.. Ambayo Manji ameifungua dhidi ya Reginald Mengi kumuita Fisadi PAPA kwa kuhusika na EPA.. Ndg wana CDM nisaidieni kunielewesha ktk hili, labda mi ndo nna mtazamo tofauti..

Naomba ufafanuz wakuu wangu!
 
Marando alitakiwa achukue sabbatical leave na aendelee na ubunge. Akimaliza tenure yake ya ubunge then anawezarudi ku-practice law as an attorney. Hapa kuna conflict of interest. Kesho usijeshangaa yeye as an attorney ama his legal firm ina-represent Caspian Construction Company. CDM hapa wanatakiwa wa-clean up this mess la sivyo itakuwa hakuna credibility ya kuwasikiliza CDM wanapoongelea vita vya ufisadi. Nahisi amepandikizwa na kijani.
 
Marando marandooooooo! Watz wa sasa sio wale wa 90s ulipoisambaratisha nccr watz wa sasa wanaku'do' kabla haujai 'do' cdm
 
Marando alitakiwa achukue sabbatical leave na aendelee na ubunge. Akimaliza tenure yake ya ubunge then anawezarudi ku-practice law as an attorney. Hapa kuna conflict of interest. Kesho usijeshangaa yeye as an attorney ama his legal firm ina-represent Caspian Construction Company. CDM hapa wanatakiwa wa-clean up this mess la sivyo itakuwa hakuna credibility ya kuwasikiliza CDM wanapoongelea vita vya ufisadi. Nahisi amepandikizwa na kijani.

Vuvuzela, as memberz, wats our position in avoidng ths predctble mess?
 
..i wuld love 2 read smthng postd by MZITO KABWELA pertaining the matter.. Coz 2 me ths seems to b vry sensitive, and fire-breakout at future..

Naomba kuchangia.
 
Vuvuzela, as memberz, wats our position in avoidng ths predctble mess?

Sina membership ya chama chochote cha kisiasa iwe bongo ama huku ughaibuni. I'm an independent.
Ninachoshauri tu ni kuwa Chadema inabidi wawe makini na waiangalie hii kansa ya Marando la sivyo basi itakuwa ni vigumu wao kuni-convince niwasikilize wakiongelea hoja yoyote ya ufisadi wakati MP wao anamtetea fisadi papa.
Marando angekuwa ni attorney wa Manji ktk kesi inayohusu issue nyingine, may be ningeweza ku-over look. Lakini kibaya ni pale kesi yenyewe inahusu tuhuma za ufisadi.
 
kweli hata mimi huwa napatashinda akiwa jukwaa la siasa anawataja mafisadi halafu kwenye kesi yeye ndiyo mtetezi wao...nikama sita kutumia voda au manji kupeleka matangazo ya biashara zake ipp
 
Sina membership ya chama chochote cha kisiasa iwe bongo ama huku ughaibuni. I'm an independent.
Ninachoshauri tu ni kuwa Chadema inabidi wawe makini na waiangalie hii kansa ya Marando la sivyo basi itakuwa ni vigumu wao kuni-convince niwasikilize wakiongelea hoja yoyote ya ufisadi wakati MP wao anamtetea fisadi papa.
Marando angekuwa ni attorney wa Manji ktk kesi inayohusu issue nyingine, may be ningeweza ku-over look. Lakini kibaya ni pale kesi yenyewe inahusu tuhuma za ufisadi.
Kwani marando ni MP?
 
Katika List of shame iliyotangazwa na Slaa,Manji hakuwemo..jiridhisheni kwa kupitia kwa umakini,deal za Manji nyingi anaiba kwa akili kama kusubmitt tender request katika kazi moja anawakilishwa na makampuni zaidi ya 10 yote yakiwa yake mwisho wasiku anashinda yeye..kwa kashfa za ufisadi wa direct hajawahi kupatikana nazo ndo maana anakiburi cha kwenda mahakamani,mafisadi papa hawaendi mahakamani hata siku moja
 
mafisadi ni wale waliotajwa na dr slaa peke yake? Chanzo cha ugomvi wa manji na mengi ni nini? Plz kama unajua ni juze
 
Marando alitakiwa achukue sabbatical leave na aendelee na ubunge. Akimaliza tenure yake ya ubunge then anawezarudi ku-practice law as an attorney. Hapa kuna conflict of interest. Kesho usijeshangaa yeye as an attorney ama his legal firm ina-represent Caspian Construction Company. CDM hapa wanatakiwa wa-clean up this mess la sivyo itakuwa hakuna credibility ya kuwasikiliza CDM wanapoongelea vita vya ufisadi. Nahisi amepandikizwa na kijani.

Mbona sio mbunge jamani?
 
Sina imani sana na Mabere Marando.. Naona kama yupo kifedha zaidi.. CDM yetu kupitia Dr. Slaa ndo iliibua hoja ya ufisadi wa BOT kupitia EPA na kumtaja Manji km muhusika kupitia KAGODA.. Sasa leo kwnye habari ya Saa 2 usiku ITV Mabere ametajwa kama mtetezi wa Manji katika kesi ambayo inarandana na masuala ya EPA.. Ambayo Manji ameifungua dhidi ya Reginald Mengi kumuita Fisadi PAPA kwa kuhusika na EPA.. Ndg wana CDM nisaidieni kunielewesha ktk hili, labda mi ndo nna mtazamo tofauti..

Naomba ufafanuz wakuu wangu!

Nimepata kumsikia Mhe Mabere Marando akijibu hoja za kuwatetea walioshitakiwa kwa kesi za ufisadi. Marando anasema wale walioshitakiwa hawamo kwenye list ile ya mafisadi iliyotajwa na Dr Slaa na wale walioshitakiwa ni kama danganya toto na ingekuwa anawatetea wale 11 kwenye ile list basi angestahili kukejeliwa. Nadhani ana point ila kwa hilo la Manji sijui kama yupo kwenye list au laaa.
 
Back
Top Bottom