Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

Breaking News:Wanachama1938 wakiwa na wenyeviti wao watano wa vitongoji katika Wilaya ya Ngorongoro Kataya Enduleni wamekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) Jioni hii na kuhamia Chadema.
Kwamujibu wa katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa, Wenyeviti haowalipiga simu asubuhi ya leo na kutoa taarifa za kuhama CCM. Chadema ilituma KikosiKazi ili kuthibitisha habari hizo na tayari imethibitishwa wanachama hao kuhamaCCM na Kuhamia CHADEMA kama inavyoainishwa hapa chini;

1. Saitabau Tereto - Mwenyekiti waCCM Kitongoji cha Esirwai,

Amerudisha Kadi yake na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 478 waCCM katika Kitongoji hiki wamerudisha KADI zao na kuhamia Chadema.

2. Kone Kema - Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ndiyani,
AmerudishaKkadi na Kuhamia Chadema,
WanachamaWengine 590 (CCM) katika kitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia Chadema
3. Marko Mbene – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ngoyapase,
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 320 katika Kitongoji hiki wamerudishaKadi na kuhamia CHADEMA
4. Saruni Meng'arana – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Embarware –
Amerudisha kadi na Kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 224 katika Kitongoji hikiwamerudisha Kadi zao za CCM na kuhamia CHADEMA
5. RobertEdward – Mwenyekiti wa CCM Kitongoji cha Madukani
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 326 wa CCM katikakitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia CHADEMA
Arusha Mambo itakatisha matangazo yake toka Bungeni Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja toka kwa Viongozi wa Chadema waliko eneo la tukio,

ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com
Kwa waombaji ongezeni maombi maana saa ya ukombozi inakaribia
 
Nadhani hii ni laana na dhuluma waliyoifanya kwa Godbless Lema ndio inawarudia! -Watanzania wanataka mabadiliko,wasipoyapata ndani ya c.c.m watayapata nje ya c.c.m- Mwl J.K.Nyerere 1995 - Dodoma
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa ccm mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

hapo kwenye RED ni pombe au????????????? mana katibu wa ccm mkoa wa arusha ninaemjua ni mary chatanda
 
Wewe umekuja sawasawa!!mtiririko halali kwa wapenda mabadiliko!!wale wa monduli vipi? Hawaja confirm bado?
 
Nape unasemaje?
Je, wananchi hawa nao wamekosa mvuto kwa wananchi wenzao?
M4C imeelekea kanda ya ziwa, na huko tutasikia mengi...
 
Back
Top Bottom