Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

Wanachama1938 wakiwa na wenyeviti wao watano wa vitongoji katika Wilaya ya Ngorongoro Kataya Enduleni wamekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) Jioni hii na kuhamia Chadema.

Kwamujibu wa katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa, Wenyeviti haowalipiga simu asubuhi ya leo na kutoa taarifa za kuhama CCM. Chadema ilituma KikosiKazi ili kuthibitisha habari hizo na tayari imethibitishwa wanachama hao kuhamaCCM na Kuhamia CHADEMA kama inavyoainishwa hapa chini;

1. Saitabau Tereto - Mwenyekiti waCCM Kitongoji cha Esirwai,

Amerudisha Kadi yake na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 478 waCCM katika Kitongoji hiki wamerudisha KADI zao na kuhamia Chadema.

2. Kone Kema - Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ndiyani,
AmerudishaKkadi na Kuhamia Chadema,
WanachamaWengine 590 (CCM) katika kitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia Chadema

3. Marko Mbene – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ngoyapase,
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 320 katika Kitongoji hiki wamerudishaKadi na kuhamia CHADEMA

4. Saruni Meng'arana – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Embarware –
Amerudisha kadi na Kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 224 katika Kitongoji hikiwamerudisha Kadi zao za CCM na kuhamia CHADEMA

5. RobertEdward – Mwenyekiti wa CCM Kitongoji cha Madukani
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 326 wa CCM katikakitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia CHADEMA
Arusha Mambo itakatisha matangazo yake toka Bungeni Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja toka kwa Viongozi wa Chadema waliko eneo la tukio
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti 2402 wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa.
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.
Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa ccm mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

CCM kwaheri.... Badilisha hapo penye Red
 
Peoples.................................................................................................................................................
 
Sina haja ya kukaa ofisini tena nafungasha nikajipongeze na familia yangu sasa!. Nataka watuambie MNADA WA JENGO LA CCM Mkoa wa Arusha ni lini kwani kwa sasa halina kazi tena!!!!!! tunataka kununua kwa ajili ya kufanya ofisi zetu za CDM.

Ha ha haaaaaaaaaaa! Ni raha tupu!
 
Back
Top Bottom