Wana wa JF,Me na My mother Tumewakosea nini jamani? Mniambie....!!!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,854
31,876
Enyi member wa Jf,nilikuwa kimya mda mrefu nikisubiri heka heka za KTMA ziishe,sasa nimekuja toa dukuduku langu.
Mmebandika picha yangu na mdogo wangu na mama'angu stejini (Hadija Kopa) ktk Jf Photo, nimeona michango ya baadhi yenu,mmetuponda sana,au nguo fupi niliyokuwa nimevaa jamani?
Roho iliniuma sana wana Jf,si vizuri hvyo,au huu unene wangu?
Haya poa.
 
pole
mbona mimi niliona mmependeza
wewe ndo ulivaa red??ulipendeza
 
Haaaahaaaaaa una sauti tamu hadi kwene maandishi???? wallah mie ntauza nyumba nikupate weye lakini sass hebu nambie weww ni yule wa pande ya kushoto au kulia ya mama nkwe yangu to be???
 
mama mkwe wako 2be? Umechelewa bhana.
 
Mhh elli Uongo wako mtamu huo bt mwaya ulipendeza
Haaaahaaaaaa una sauti tamu hadi kwene maandishi???? wallah mie ntauza nyumba nikupate weye lakini sass hebu nambie weww ni yule wa pande ya kushoto au kulia ya mama nkwe yangu to be???
 
Enyi member wa Jf,nilikuwa kimya mda mrefu nikisubiri heka heka za KTMA ziishe,sasa nimekuja toa dukuduku langu.
Mmebandika picha yangu na mdogo wangu na mama'angu stejini (Hadija Kopa) ktk Jf Photo, nimeona michango ya baadhi yenu,mmetuponda sana,au nguo fupi niliyokuwa nimevaa jamani?
Roho iliniuma sana wana Jf,si vizuri hvyo,au huu unene wangu?
Haya poa.

Nakupenda wewe, and I love you baby...
Usim'sikize huyooo!
Mbayuwayu mie nakutuma...
Source: Marlaw
 
pole mwaya ila si unajua watanzania tunajifanya decent kazi kunyooshea vidole wenzetu?
 
Kumkosea mtu = kukosolewa. .
Meaning kama hujamkosea shurti kukisifia.
Sikua najua hili kabla. . .mi watu wakinisia sasa hivi ntakuwa nawauliza "sijakukosea nini"?!
 
Back
Top Bottom