Wana udsm watangaza vita mdaa huu

Mipango imekamilika, sasa wanaenda kulala ila kuna tarifa nilizozpata hivi punde tu kua kuna wanafunzi wengine wamekua wakianguka na kuzimia kwa njaa, hii ni kwa mujibu wa wanafunz hapa mabibo hostel. Jaman sijui tunaelekea wapi nchi hii!
 
Kuwatunukia Mafisadi na Kuwapa Shahada za bure kama Dr Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete





Hekima ni Busara PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara

mkuu, sasa nimekuelewa, asante kwa kunielimisha
 
Wasomi wa karne hii ni janga la kitaifa.

Huwa wanasoma saa ngapi?.
 
Back
Top Bottom