Wana simba mungu akiwafungua akili amtomchagua tena Rage kwa hili chini

SITAKI KUWAKUMBUSHA MACHUNGU YA MBUYIRAGE TWITTE ADEN ..LA HASHA KUNA MAMBO LAZIMA TUYAONGELEE HATA KAMA YATACHUKUA MIAKA 5 KWA MASLAHI YA WANASIMBA
HUO NDIO MKATABA WA TWITE AMBAO MLILETEWA BAADA YA FEDHA KULIWA PALE KIGALI ..NA BILA KUJIULIZA MKATABA HUU UKAPELEKWA TFF..SASA BASI UKIANGALIA MKATABA UMESAINIWA WAPI.........DAR ES SALAAM

WAKATI TUMECHUKUA MIEZI KADHAA YANGA KUMWONA TWITTE PAMOJA NA KUMSAJILI KIHALALI

JE ADEN RAGE ANAWEZA KUTUELEZA KAMA MWENYEKITI ANAIPELEKA WA SIMBA KAMA ISSUE NDOGO YA USAJILI ANADANGANYA HIVI HIZO PESA ZINATAFUNWAJE??

WANASHERIA KWA HILI MMEJIZALILISHA SAN SANA KAMA KUNA ANAEMJUA HUYU BWANA FRANK AMEJITIA AIBU KABISA FANI YAKE YA UANASHERIA AMEWEZAJE KUSAINI MKATABA PASIPO KUMWONA MTU NA ANAJUA KABISA UNAENDA KUSAINIWA KIGALI UKAANDIKWA DAR ES SALAAM?????

NANUKUU MAANDIKO MATAKATIFU "wATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA""MUNGU AKAWAPE MAARIFA WANA SIMBA MJUE UCHAFU UNAOENDELA HUMO NDANI
 
Yalishaisha haya...Twitte kaenda jangwani na Simba wanaendelea na mambo yao.

Mpira umejaa uchafu mwingi sana...tukiyazungumza yote hapa, hata uwanja Taifa tutaona kinyaa kwenda kuangalia mechi...hususan za Simba na Yanga.
 
washabiki wa simba ushuzi mtupu...
Wanapigwa pesa na msomali na wenyewe wanang'ang'ana tu kuwa Simba ni taifa kubwa.

Amkeni
mbaaaav
 
Msomali kapiga pasi ndefu! amekaa jela lakini hajajifunza kuwa wizi ni tabia mbaya!
 
siku zote nimesema humu jamvini, RAGE ni janga la Simba. Mwongo na tapeli wa lugha. kamwe hatutafika, kiongozi gani karibu mwaka wa nne huu ata ka jeka ka moja kamazoezi hakuna. ameshindwa kuthubutu
 
huo mwandiko jamaa anajua kusoma na kuandika kweli
hata na mimi hii imenishangaza, nafikiri aliishia darasa la pili: na ndo maana alibabaika kwenye kipindi cha usajili, uelewa wake na shule yake ni ndogo, anaitaji asamehewe bure.
 
Yalishaisha haya...Twitte kaenda jangwani na Simba wanaendelea na mambo yao.

Mpira umejaa uchafu mwingi sana...tukiyazungumza yote hapa, hata uwanja Taifa tutaona kinyaa kwenda kuangalia mechi...hususan za Simba na Yanga.

Lengo la mtoa mada sio kuwakumbusha machungu au matamu.
Ila ni kuwapa onyo wapenzi na wanachama wa Lunyasi a.k.a Taifa Kubwa kuhusu mtu wanayemkumbatia kila uchao kwa jina la mwenyekiti, convict as per Laws of United Republic of Zimbabwe, Pemba and Tanganyika.
Ukweli wacha usemwe, hatuwezi kukaa kimya kwa vile eti kuna uchafu mwingi kwenye soka.
 
Simba toka wamemchagua Rage...hakuja tokea kasheshe wala songombingo...ila kule kwenye kandambili kila siku kutimuana. Sasa hapo wanachama gani wanatakiwa kuhoji viongozi wao? Uongozi wa Rage umeipa Simba ubingwa wa premier mwaka jana...na hadi dakika hii, Taifa liko kileleni...

Sasa huo ukweli unaosemwa hapo ni upi? Hebu malizaneni na Njoroge kwanza kabla hamja hamishwa kucheza na Tukuyu Stars....

Only two days to go before you get yourselves into big trouble...
 
Duh?
Kwa hiyo kama Yanga kuna songombingo basi ndio kipimo cha utulivu Simba... Kazi ipo!
 
Hebu tukumbushane, ni sababu gani iliyosababisha msomali afungwe?

Ubadhilifu.
Alitafuna dolari laki ine kutoka FIFA, ft. Ndolanga na Wambura, sasa hawa watanganyika wakamchimba mkwara kuwa kwa vile yeye sio raia akubali tu zigo la mavi.
Akajikuta behind bars...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom