Wana Sayansi wagundua Sayari kubwa iliyoumbwa kwa Almasi!

Mimi nilifikiri Chama Cha Mapinduzi kimegunduliwa kuwa na almasi.Maaana vichwa vilivyomo ndani ni Zaidi ya almasi.Hongera zao hao wanasayansi
 
Awadhi!nikijaribu kuunda picha yako akilini napata aina fulani ya JITU la ajabu ajabu,lisilo na fikra wala akili.
 
Utakuwa una mimba ya ccm wewe!!ndo maana muda wote unawaza ccm tuu,hata kwenye mambo ya maana wewe una waza upuuzi
 
diamond-planet-55-cancri-e_620x465.jpg
Illustration of the interior of 55 Cancri e, an extremely hot planet with a surface of mostly graphite surrounding a thick layer of diamond, below which is a layer of silicon-based minerals and a molten iron core at the center.

source: Astronomers spot "diamond planet" - CBS News
 
hiyo inawafaa wale wote wenye tamaa waende huko,watuachie earth yetu,nadhani m/mungu ameligundua hilo akaamua kuwaundia yao,manake kwenye pepo yake hawataki
 
'Mh! Mbona kwenye msahafu wa dini yetu yameandikwa mengi kuhusu sayari hiyo! Kitabu chetu na manabii wetu waliyaona hayo kitambo!'

Nategemea kusikia maneno haya hivi karibuni,..TAFAKARI.
 
4f34efe134d5ad2c192a11c4_diamonds1.jpg
hata hvyoo zpo kwa ndani mnooo xo i dont think kama wataweza kuchukua hayo madini kirahisa ! Ita wa cost trilllions of bucks plus bunch of time
 
Back
Top Bottom