Elections 2010 WANA-MAGAZIJUTO NA MSHAHARA WA TSh.315,000/=

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Nilitoa changamoto kwamba nieleweshe ni namna gani tunaweza kuwa na mapato ya ziada yatakayoweza ku-accomodate mshahara wa kima cha chini wa Sh.315,000/=! Kama kawaida yao, hamna aliyejibu hoja mbali ya matusi! Hata hivyo, angalau mtu mmoja akajaribu kukokotoa ni namna gani Sh.315,000 inavyoweza kulipika( Ingawaje mie nilihitaji bajeti ya mapato, na sio matumizi)! Akapiga hesabu zake, na kutoa figa isiyofika hata Trilioni 2 endapo serikali itaamua kulipa kiwango hicho! Mantiki yake ilikuwa kwamba, JK ni muongo kwa madai yake kwamba endapo kima kitapanda hadi Sh.315,000 basi bajeti ya mshahara itakaribia Sh. Trilioni 6 (wakati mapato hayafiki hiyo Trilioni 6!) Akatokea mwana-JF aliyeniona mimi ni sawa na mbumbumbu coz' siwezi kufanya hata simple mathematics!! Mwana JF huyu akaweka assumption kwamba wafanyakazi wa serikali wanafikia laki nne, hivyo kwa mshahara wa Sh.315,000 (xlaki 4) plus zile zinazoenda kwenye pension funds hazifiki hata Trilion 2! Huyu bwana, akanikejeli kwamba eti pamoja na umbumbu wangu sitashindwa kuifahamu hesabu ndogo kama hiyo!!!! Sasa ndo najiuliza, ina maana kima cha chini kikiwa Sh.315,000/= ina maana from hapo gvt salaries zitakuwa flat rates!? Huyu bwana nae, anajigamba eti ni GREATEST THINKER; ingawaje hafahamu kwamba hakuna ki2 kinachoitwa flat rates kwenye mishahara! Huyu bwana na wenzake(Greatest thinkers) hawajui hata kidogo kwamba unavyopandisha mshahara wa chini, almost the whole aggregate payroll ita-shake!
Mimi sina mengi ninayofahamu kuhusu serikalini lakini b4 sijaandika huwa nachunguza kidogo kuliko kukurupuka! According to Tangazo la Kazi lililokuwa limetolewa na Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma (Daily News April 21,2010) nilikuta the Lowest Grade ni Grade TGOS. A( ambayo slary scale yake ni btn TZS. 104,410 to TZS. 146,570). Grade hii inachukuwa watu kama wasaidizi wa ofisi(wapika chai, wafagizi, and the like) na walinzi! Likewise, fresh graduates wanaanza na Grade D (for non science oriented graduates) ambayo salary yake ni Sh.324,260/= hadi TShs. 401,880) na Grade E (for science oriented graduates) ambayo salary yake ni TZS 408,560/= hadi TZS 505,030! Ikumbukwe, hizo ni grade za chini sana kwenye organization chat! Hivyo basi, tunaposema KCC iwe Sh.315,000/= maana yake ni kwamba Mhudumu wa ofisi alipwe Shs.315,000/=. So, ina maana viwango vingine vibaki vilevile like b4?! Jibu ni kwamba HAIWEZEKANI! Au hata kama vitabaki vilevile, hiyo mantiki ya flat rates ya 315,000/= inatoka wapi?! Jibu lake ni kwamba JF is no longer The Home of Greatest Thinkers, but The Home of Greatest as well as Shallowest Thinkers! Mimi nilinukuu maneno ya JK kwamba endapo KCC itakuwa Sh.315,000 basi bajet ya salary peke yake kwa mwaka itakuwa abt 6 Trilioni! Hesabu za Wana-JF zinaonesha JK ni muongo kv at TSh. 315,000 plus benefits zinazoenda kwenye pension funds, bajeti ya salary itakuwa haifiki hata Sh. Trilioni 2 (kwa assumption kwamba Employees 400,000 @ 315,000/=!!!!!!!!) Ama kweli, wa-TZ tuna safari ndefu! Ikiwa huyu nae anajiita Greatest Thinker, yule aliye Shallowest Thinker atakuwaje?
Yeyote anayehitaji kutoa approximation zake kuhusu bajeti ya salary itakuwaje lazima aangalie yafuatayo!
·Kuna grades ngapi za mshahara and their corresponding salary values
·Kuna wafanyakazi wangapi kwenye kila Grade
·From 104,000 to 315,000 ni increase for abt 200%; kuwe na increase ya % ngapi kwa kila grade iliyosalia!
Ukishapata hayo majibu, ndipo unaanza kukokotoa and not as simple as taking 315,000(KCC) x 400,000(employees)x12(annual budget) and apply MAGAZIJUTO CONCEPTS!!!
 
Mbona ile thread haijafutwa kwanini usijibu pale maana hapa umeamua kureply thread kwa kuanzisha thread nyigine mods take action plz!
 
Naamini Mods wanajua kazi yao badala ya kuwatuma nini cha kufanya! anyway, nimeifanya iwe fresh ili kuwafanya wale wenye data sahihi, watuambie idadi ya salary grades and their corresponding salary values, idadi ya wafanyakazi kwenye kila grade na assumption zinazotumiwaga (% increase ya salary kwa kila grade).Likifanyika hilo, tutafahamu kwa yakini if JK lied the public or not!
 
Nilitoa changamoto kwamba nieleweshe ni namna gani tunaweza kuwa na mapato ya ziada yatakayoweza ku-accomodate mshahara wa kima cha chini wa Sh.315,000/=! Kama kawaida yao, hamna aliyejibu hoja mbali ya matusi! Hata hivyo, angalau mtu mmoja akajaribu kukokotoa ni namna gani Sh.315,000 inavyoweza kulipika( Ingawaje mie nilihitaji bajeti ya mapato, na sio matumizi)! Akapiga hesabu zake, na kutoa figa isiyofika hata Trilioni 2 endapo serikali itaamua kulipa kiwango hicho! Mantiki yake ilikuwa kwamba, JK ni muongo kwa madai yake kwamba endapo kima kitapanda hadi Sh.315,000 basi bajeti ya mshahara itakaribia Sh. Trilioni 6 (wakati mapato hayafiki hiyo Trilioni 6!) Akatokea mwana-JF aliyeniona mimi ni sawa na mbumbumbu coz' siwezi kufanya hata simple mathematics!! Mwana JF huyu akaweka assumption kwamba wafanyakazi wa serikali wanafikia laki nne, hivyo kwa mshahara wa Sh.315,000 (xlaki 4) plus zile zinazoenda kwenye pension funds hazifiki hata Trilion 2! Huyu bwana, akanikejeli kwamba eti pamoja na umbumbu wangu sitashindwa kuifahamu hesabu ndogo kama hiyo!!!! Sasa ndo najiuliza, ina maana kima cha chini kikiwa Sh.315,000/= ina maana from hapo gvt salaries zitakuwa flat rates!? Huyu bwana nae, anajigamba eti ni GREATEST THINKER; ingawaje hafahamu kwamba hakuna ki2 kinachoitwa flat rates kwenye mishahara! Huyu bwana na wenzake(Greatest thinkers) hawajui hata kidogo kwamba unavyopandisha mshahara wa chini, almost the whole aggregate payroll ita-shake!
Mimi sina mengi ninayofahamu kuhusu serikalini lakini b4 sijaandika huwa nachunguza kidogo kuliko kukurupuka! According to Tangazo la Kazi lililokuwa limetolewa na Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma (Daily News April 21,2010) nilikuta the Lowest Grade ni Grade TGOS. A( ambayo slary scale yake ni btn TZS. 104,410 to TZS. 146,570). Grade hii inachukuwa watu kama wasaidizi wa ofisi(wapika chai, wafagizi, and the like) na walinzi! Likewise, fresh graduates wanaanza na Grade D (for non science oriented graduates) ambayo salary yake ni Sh.324,260/= hadi TShs. 401,880) na Grade E (for science oriented graduates) ambayo salary yake ni TZS 408,560/= hadi TZS 505,030! Ikumbukwe, hizo ni grade za chini sana kwenye organization chat! Hivyo basi, tunaposema KCC iwe Sh.315,000/= maana yake ni kwamba Mhudumu wa ofisi alipwe Shs.315,000/=. So, ina maana viwango vingine vibaki vilevile like b4?! Jibu ni kwamba HAIWEZEKANI! Au hata kama vitabaki vilevile, hiyo mantiki ya flat rates ya 315,000/= inatoka wapi?! Jibu lake ni kwamba JF is no longer The Home of Greatest Thinkers, but The Home of Greatest as well as Shallowest Thinkers! Mimi nilinukuu maneno ya JK kwamba endapo KCC itakuwa Sh.315,000 basi bajet ya salary peke yake kwa mwaka itakuwa abt 6 Trilioni! Hesabu za Wana-JF zinaonesha JK ni muongo kv at TSh. 315,000 plus benefits zinazoenda kwenye pension funds, bajeti ya salary itakuwa haifiki hata Sh. Trilioni 2 (kwa assumption kwamba Employees 400,000 @ 315,000/=!!!!!!!!) Ama kweli, wa-TZ tuna safari ndefu! Ikiwa huyu nae anajiita Greatest Thinker, yule aliye Shallowest Thinker atakuwaje?
[

Nashukuru kwa uchambuzi wako hapa nafikiri hata mjinga kabisaaaaaaaaaaaaaaa ataelewa unachozungumza
 
Umeona enheeeeeee!!!
 
Umeona enheeeeeee!!!

Nasdaz either wewe unataka kuleta hoja za kipuuzi au unakuja kudeviate from the argument iliyowekwa mwezi wa Tano wa kwamba je Serikali ya Tanzania haiwezi kuwalipa wafanyakazi wa Tanzania. Sasa labda nikuulize wewe ushawahi kufanya utafiti wowote? Na unapotengeneza forecast data unataka kutwambia wewe unadeal na actual data ambazo zipo 100%. Nadhani hapa unataka kuwadanganya wananchi kupoteza maana halisi za hesabu kwani hatakama ni magazijuto kama ulivyosema hizo magazijuto set of questions zilizo katika form ya hesabu kujaribu kujibu swali maalum.

Tuje katika hoja ya yes kuna wafanyakazi wanalipwa TGOS1- TGOS10 or whatever but do you think kuna a reliable data source ya kuweza kuchambua hizo information na system yetu ya tanzania? Pia tuje katika hilo swala la mafao yule bwana aliyeassume mshahara wa chini kwa wafanyakazi 400,000 unadhani alikosea. Yeye kama watafiti duniani hutumia mathematical modeling ambazo zinaoperate on the basis of set up assumptions sasa wewe mwenye data kamili tuchambulia basi? Kama huna mie nakushauri ufyate mdomo kwani unataka kuwadhilisha watu ilhali wewe huna la kuargue. Economist wana msemo unasema no research no right to speak!!!!! naomba jibu!Kama huna actual data nadhani yule aliyeassume mshahara wa chini yuko sahihi kabisa na ni kweli serikali inauwezo wa kulipa mshahara huo.
 
Ninyi watu mnaniboa ki2 kimoja tu!!! Mnapokuta hoja isiyofanana na imani zenu basi mnatanguliza jazba mbele!!! Kutanguliza kwenu kwa jazba kunawaondolea busara na hivyo kutoona nini kilichozungumzwa!! Watu matusi tunayeweza, tena kwa mtoto wa tandika kama mimi ninaweza kukuporomoshea matusi hadi usitamani tena kuingia humu ndani lakini siwezi kufanya hivyo coz' i assume kwamba watu wanaoingia humu ni wa2 wazima wenye busara zao na wanaofahamau namna ya kuzichunga ndimi zao. There4, nakushauri unaweza kueleza kutokubaliana kwako bila kutumia jazba na matusi otherwise i can assume otherwise abt u!
Now back 2 ur points! Kama usingetumia jazba ambayo aghalabu huondoa busara na kufikiri, ungegundua kwamba nilishasema wazi kwamba sina data na kueleza endapo tunataka tukaribie na ukweli (wa either 1.7Tri or 6 Tri, ) basi tuzingatie mambo gani. Hakuna model duniani inyotoa assumption mbovu kama hiyo (400,000x315,000)! Na hakuna mtafiti liye makini atakayefanya kama alivyofanya yeye! Assumption zipo, lakini lazima ziwe logical assumption! Nyinyi ndo wale ambao mtasikia "sales zitaongezeka for 5%; na ukiuuliza why 5% and not 10% atakwambia this is just a budget bila angalau ku-review past sales na ku-draw simple regression!!!! Kuna mtu anaweza kudai kwamba tumepiga flat coz' wanaopata kiasi cha chini ndio wengi kuliko wanaopata kiasi cha juu kumbe si ajabu unaweza kukuta hao wachache nddio wanaopata the largest percent of total budget!!! Kwahiyo mkuu, assumption zipo, na hizo mathematical models zako unazodai kuzifahamu zipo! Ingawaje mimi si mtaalamu kama wewe lakini siwezi kufanya assumption mbovu kama hiyo!!! Huwa sifanyi kitu bila kujiuliza why am gonna do this!!
 
No research no right to speak hivyo basi ile model ya jamaa ya wafanyakazi 400,000 ni sahihi kabisa unless ulete data zako wewe kureject alichokifanya yule bwana usitake kutudanganya humu JF. Na mie sijaandika kwa jazba bali nilikuwa najaribu kufahamu what are your intention na hii mada. Kama huna data, huna model, huna assumption they why do you argue!!!!!!
 
Mkuu Nasdaz,
Watu wote tunayo haki ya kujadili na kusema tunalotaka kusema ili mradi hatuvunji sheria. Tunao professional researchers wenye kazi yao ya kufanya research kama wewe unayekosoa wenzako ni qualified professional researcher tuambie tujue. Kuanza kukosoana eti kwa kuonyeshana umahiri wa kufanya mahesabu na kuwaponda wengine kwamba sio Great Thinkers hakusaidii lolote. Nyie mnaojidai mnajua kufanya utafiti na kutoa figures mnazodai ndizo sahihi basi tafitini mtuletee figures za matumizi yote bogus yanayofanywa na viongozi wa Serikali, na mishahara minono na posho nono zinazotolewa kwa watu wa ngazi za juu kwenye seminars na mikutano mingine ya kupikwa halafu mlinganishe na mishahara midogo inayolipwa watumishi wa ngazi za chini na makato wanayokatwa mtuambie kama kuna uhalali ama uwiano wowote wa mgawanyo wa keki ya Taifa.

Fedha zinazokusanywa kwa njia mbalimbali kama vile kodi n.k. sio halali ya watu wachache bali ni kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania wote kwa ujumla waajiriwa na wasio waajiriwa wa Serikali. Kwa maana hiyo lazima uwepo uwiano wa mgawanyo wa mapato hayo ya taifa kwa manufaa ya Watanzania wote hata wale wasio kwenye formal ajira. Kinachotokea hivi sasa ni wachache kujimegea/kumegewa mapande makubwa makubwa ya keki ya Taifa wakati wananchi wengine wanaachwa solemba. Inabidi na inapaswa waajiriwa wote iwe wa Serikali ama sekta binafsi wapate kima cha mshahara kinachoweza kukidhi mahitaji yao ya lazima ya kila siku. Halikadhalika, wananchi wengine wasioajiriwa wakiwamo wakulima wawezeshwa na kuwekewa mazingira mazuri ili waweze kukuza uzalishaji wa bidhaa zao na wapunguziwe makali ya maisha kwa kupewa bure huduma muhimu za jamii kama vile elimu na afya ili na wao wanufaike na pato la taifa. Hata wale ambao wamesoma na wana taaluma zao wanastahili pia kuwekewa utaratibu wa kupewa posho za kuwawezesha kuishi wakati wanahangaika kutafuta ajira. Uwezo huo upo kama kweli Serikali inayo nia ya kutaka kuwasaidia wananchi wake. Tugawanye pato la taifa kwa uwiano unaomfaidisha kila raia wa nchi hii.

Sasa enyi mnaojiona ni Great Thinkers kuliko wengine, kaeni chini mfanye hesabu za namna ya kugawa pato la taifa ili liweze kuwanufaisha Watanzania wote na si wachache kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom