Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Mkuu ahsante kwa kunijuza nilikuwa sijui kumbe huyu bwana ni mjanja fulani kihivi??? Kahamisha barabara ya lami from B'mlo to Chato tena kahamisha tarafa to new Region Geita, kweli huyu anaona mbali tupigane kivyetu tuta tokea tuu iko siku!!!Halafu bi mkubwa dada yetu Prof nasikia anamiliki a big chunk of land eneo hilo la Chato yote ni kuboresha maendeleo ya eneo lake!!! Jibu ni M4C tuu!!!Mh. Maghufuli aliona Kagera tunakuwa kikwazo kwa kasi yake ya maendeleo akahamishia tarafa yake ya CHATO kwenda mkoa mpya wa Geita na kuipandisha hadhi chato kuwa Makao Makuu ya Mkoa. Huu ndiyo mfano mzuri wa matokeo ya jinsi tulivyochoka mpaka wenye akili wanajitenga na mkoa na bado watu wanaona mambo mswano! Mtumishi Wetu unaanza kutonesha vidonda sasa.