Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Pole babu.......hiyo hapo ni kwa ajili yako pia!!
Usikasirike eeh.......

Tatizo Acid nilikuwa sijamuona muda mrefu........

Am out! Baadae kidogo....

Sasa waweza kwenda kwa amani, kwa kuwa nafsi ya babu imejaa furaha na bashasha la kimapenzi....
 
Nilikuja.......
Nimekutafuta kona zote sijakuona:disapointed:
Bado kiidogo ni-scream ur name!!

How come smiles...hukuona lijamaa linasinzisinzia karibu na kaunta?....inabidi kufanya taratibu za :cell:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom