Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Acid mwache Max akampumzike.Kutekeleza masharti ya dakatari ni muhimu,afya yake ya baadaye ni muhimu kuliko taarifa ya leo.
BTW wapo hapa kina PJ watatupa habari.,au humwuoni PJ nini?He is hia hia,now now...
nadhani inabidi tumcheki PJ kule room atupe up-date
anza basi mama kutuma ujumbe kule,ndio italeta quick response:teeth:
 
Hivi Mzee Mwanakijiji yupo mzima jamani?
Nina muda sijamsikia......
wenye kujua juu ya uzima wa Bandugu yetu naombeni mnitoe wasiwasi.........
 
Dada Regia,

Hata hivi naandika JF ni kwa makosa, Dr. kanizuia matumizi ya computer na simu sana lakini kwa issue hii niliamua walau niungane na wakuu hawa kuwaonyesha kuwa tupo pamoja katika hili.

Tatizo nitalazimika kuwaacha nikatimize masharti ya Dr.

Hongereni sana dah kila mtu anatamani angalau aone fisi live mbugani lakini ndo hivyo.

Ila mkuu zingatia ushauri wa Dr. inabidi upumnzike kwa kujali afya
 
Hivi Mzee Mwanakijiji yupo mzima jamani?
Nina muda sijamsikia......
wenye kujua juu ya uzima wa Bandugu yetu naombeni mnitoe wasiwasi.........

Mkuu mbona unachakachua topic?

Si umeanzisha mada kule au hujaridhika?

Mtumie PM basi atakujibu
 
a a haukutangazwa na mi pia nilijiuliza hivo hivo.... hao wajuana wenyewe kwa wenyewe tuu,,,,

Binafsi naomba radhi kwa niaba ya wote tuliokuwa kwenye bahari ile ya raha ni kwa sababu tu wengi hawakuwa online na baadhi cm.zilizimika.

Ila naomba kumpongeza Mello kwa hili jamvi na wana jf.wote ujumla maana hii ni familia kubwa sana na ina upendo wa ajabu ambao ni natural kwa wakuu kutoka Dar. waliotupasha joto F. Lady, mzee mzima Bigirita, Ld, The Finest, Teamo, from moro, Matty, Kimey,chipkizi,mwanajamii one umenikomesha na wengine wengi waliokuwepo na waliotupigia cm. Kama cheusi mangala, asprin, na waliokuwa pamoja na cc online mpaka natamani tujenge kijiji chetu cha amani na upendo siku zote

I salute u Guyz.

Pj.m/kiti na kamati yako nawakoma!
Maxence!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????
Wewe kichwa kichwani zimo na zinakutosha.

Jf. Wera weraaaaaaaaaaaaaa!
 
haya paka jimmy usije nimeza mzima mzima na huo mdomo wako,,,, we hukupiga picha huko arusha mwenzetu???
Hamezwi mtu hapa...picha hiyo isikutishe...
Nilipiga picha mwaya..subiri tunazipandisha muda si mrefu...!...
Lakini weye Nilham HATA KAMA PICHA HIZO ZIKIKUFURAHISHA UTAWEZA KURUHUSIWA NA MWANDANI WAKO kutembelea porini?...si nasikia hata marikiti aenda mwenyewe!:redfaces:
 
Hivi Mzee Mwanakijiji yupo mzima jamani?
Nina muda sijamsikia......
wenye kujua juu ya uzima wa Bandugu yetu naombeni mnitoe wasiwasi.........
Acheni Mzee wetu ale sikukuu kimyakimya alifanya kazi kubwa sana wakati wa uchaguzi kutoa elimu ya uraia.....serikali yetu haina shukrani kwa watu wanaoelimisha jamii.............na kutoa mchango mkubwa namna hiyo..............Angelifaa kupewa Shahada ya falsafa ya uzamizi kwenye elimu ya uraia....................................
 
Acheni Mzee wetu ale sikukuu kimyakimya alifanya kazi kubwa sana wakati wa uchaguzi kutoa elimu ya uraia.....serikali yetu haina shukrani kwa watu wanaelimisha jamii.............na kutoa mchango mkubwa namna hiyo..............Angelifaa kupewa Shahada ya falsafa ya uzamizi kwenye elimu ya uraia....................................
Mkuu, bado uko kijijini nini?
Maana jana tulikutafuta sana hapa mjini!..lol!
 
Mkuu, bado uko kijijini nini?
Maana jana tulikutafuta sana hapa mjini!..lol!

Next time sitakosa ......I am deeply sorry..................tutawasiliana nikirudi angalau tukapate kisusio pale Madini..........au utumbo wa kuchoma.........au maini ya kuchoma...........hayo ni maeneo yangu mara kwa mara........................
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom