wana jf wa Dar mpo??

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Jamani sakata la mabomu ya Goms tumelisikia. nimesikitika kuona darasa langu la form two"B' Pugu sekondari nalo likiwa limeathirika kwa bomu.
Jamani kuna yeyote mwana jf aliyepatwa na madhara ya mabomu. kma yupo pole sana na tufhamishane kupitia jf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom