Wana JF Tuungane na Member SAJENTI...Ana Wakati Mgumu

Mungu akubariki kwa kujitoa kwako. Na mimi hofu yangu ni majina yetu itakuwaje, atakuwa mwaminifu kuficha majina yetu, manake kwenye Mpesa tumesajiri majina yetu halisi. Kwako PJ plz naomba ufafanuzi juu ya hili kabla sijatuma

Na nyie mtakua waaminifu kuficha jina lake? RIP mke wa SAJENTI
 
pole sana sajenti mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ,ndio naona hiin sredi,nitajitahidi kutuma rambrambi zangu,
 
FL1
Ubarikiwe sana kwa moyo wako wa pekee, na sala zako zitafika na kutenda kazi!
 
pole sana sajenti mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ,ndio naona hiin sredi,nitajitahidi kutuma rambrambi zangu,
...kazi ya mungu dada yangu haina makosa ni kweli ni jambo zito sana kulipokea lakini ndio ukweli utabaki hivyo my wife has gone...
 
Mungu akubariki kwa kujitoa kwako. Na mimi hofu yangu ni majina yetu itakuwaje, atakuwa mwaminifu kuficha majina yetu, manake kwenye Mpesa tumesajiri majina yetu halisi. Kwako PJ plz naomba ufafanuzi juu ya hili kabla sijatuma
Supportiiiiiiiii
 
Mkuu, siyo lazima utumie M-pesa yako, nenda banda lolote la M-pesa tuma kiasi unachotaka kutoka hapo. Na ukipenda hata kwenye yale mabuku yao unaandika jina bandia. Ni suala dogo tu hivo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom