Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Status
Not open for further replies.
@afrodenzi, nimeahidi mchango wangu kwa muheshiwa hapo juu mwenye namba 0713444649. ila nipo moshi kwasasa kama kuna maelekezo unaweza nipatia jinsi ya kwenda kcmc kumuangalia mgonjwa. vile vile nikupongeze kwa kazi hii nzuri uliyoifanya.

mgonjwa yupo gorofa ya pili karibu na kilipo chumba cha ICU chumba Na. 5 kitanda cha kwanza mlangoni.... ukiuliza manesi na wafanyakazi pale wanaweza kukusaidia kufika alipo
 
Wazo zuri sana.Tukiendele kama hivyo tutaweza kuyashinda matatizo madogo yanayo tukabili.Ninapenda kuchangia ila sasa niko huku Afrika ya kusini.Ningependa mnitumie number ya simu ya mkusanyaji na acount no. Ili niweze kuchangingia kidogo nilichonacho.My email is. georgehoza@webmail.co.za Asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
Nimeguswa sana na hii picha ya huyu kijana, ni mateso makubwa sana, halafu tunafikiri tuna serikali inayojali wananchi wake.

nitawasiliana na mchangishaji ili nami niweze kutoa kidogo nilicho nacho.

na pia mchango si lazima iwe cash hili ni swala la ugonjwa hata kwa wale waminio naomba tumuweke katika sala zetu ili Bwana awezaye yote amponye.
 
Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya na kuwapa pole .. Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO.. (saidia Mtanzia mwenzetu anateseka) weli wengi tumeisoma na imetugusa sana na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha) Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari ..... Inapendeza sana kuona wana JF tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu.. anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158

abas uvimbe.jpg
abasi 2.jpg

Asanteeni sana wakuu Tunaomba sana tena sana Na samahani kwa usumbufu...

Article yenyewe hii hapa
http://www.mwananchi.co.tz/makala/-/...aidieni-jamani.

UPDATE:
- Kijana amefikishwa KCMC asubuhi hii kwa msaada mkubwa wa Mhe. Hood wa Mogorogoro ambaye amejitolea kugharimia mitibabu.
- Hadi hivi sasa haijajulikana bado gharama zote za matibabu zikuwa ni kiasi gani na kama matibabu hayo yanaweza kufanyika hapa nchini au la
- Familia ya Abbas ni maskini kwa maana ya neo "maskini" na hivyo pamoja gharama hizo bado kutakuwa na mzigo mkubwa kwa familia.
- Kampuni ya Mwananchi ambao wamekuwa wakicoordinate suala hili wanafanya mpango wa kuweza kufundua Abdallah Abbas Medical Fund ya kusaidia gharama za matibabu na nyingine kwa familia. Endapo litafanikiwa hili mapema leo au siku chache zijazo itakuwa ni njia rahisi ya kuweza kuchangia kutoka sehemu yoyote duniani.

UPDATE:
Maxence atapokea michango yote ya wana Jamii Forums.
Na ata toa report baada ya kupokea michango ...
Kwa anaye taka kuwasiliana na Maxence directly ..
Number hii hapa +255713444649 ...(
0713444649 )

KUCHANGIA:
M-PESA: +255 755 642929
ZAP: +255 784 526 444
BANK: CRDB - Acc # 01J2092391800 - Maxence M. Melo
CREDIT Cards:
https://www.jamiiforums.com/payments.php
PayPal, send to: mwanakijiji@klhnews.com

MPAKA SASA: Tumeshapokea TZS 125,000/= (hata michango iliyokuja kuisaidia JF imeunganishwa)
Watakaochangia zaidi list itawekwa chini hapa, tujitahidi kufikia mwisho wa juma hili tuwe tumewasilisha.

====================
Michango kuanzia Julai 18, 2011

  1. Chakaza - TZS 50,000/=
  2. Kilewo - TZS 50,000/= (ahadi, akishatuma itakuwa updated)
  3. SOMEONE - $100.00
  4. Arabian Falcon - TZS 30,000

mbona updated hamna wakati nishawakilisha?
 
Wazo zuri sana.Tukiendele kama hivyo tutaweza kuyashinda matatizo madogo yanayo tukabili.Ninapenda kuchangia ila sasa niko huku Afrika ya kusini.Ningependa mnitumie number ya simu ya mkusanyaji na acount no. Ili niweze kuchangingia kidogo nilichonacho.My email is. georgehoza@webmail.co.za Asanteni kwa ushirikiano wenu.

sante sana mkuu
wachingiaji wote walio
nje ya Tanzania wanatumia

1.BANK: CRDB - Acc # 01J2092391800 - Maxence M. Melo
2.CREDIT Cards:
https://www.jamiiforums.com/payments.php
3.PayPal, send to: mwanakijiji@klhnews.com

hizo njia tatu ni rahisi sana kuzitumia
mahali popote duniani...
Asante sana tena sana ..
AD..
 
Nimeguswa sana na hii picha ya huyu kijana, ni mateso makubwa sana, halafu tunafikiri tuna serikali inayojali wananchi wake.

nitawasiliana na mchangishaji ili nami niweze kutoa kidogo nilicho nacho.

na pia mchango si lazima iwe cash hili ni swala la ugonjwa hata kwa wale waminio naomba tumuweke katika sala zetu ili Bwana awezaye yote amponye.

Kabisa mkuu maombi kitu cha muhimu sana..
ni vema kupata misaada yote ya kiroho na kimwili..
binadamu tutafanya tuwezalo vingine tunamwachie
muumba wa vyote..

ningependa kukushukuru sana mkuu
kwa kutaka kujitolea na kumsaidia Abbasi..
sante sana ..
AD
 
Wakuu juma lilopita nilibahatika kwenda KCMC kumuona mgojwa na nilipofika nilimkuta na baba yake mzazi. Kweli dogo anaumwa na anapata maumivu makubwa sana kama binadamu wa kawaida roho iliniuma sana, niliongozana na Katibu mwenzangu wa chama wa mkoa wa kilimanjaro bwana bazzl lema.

Utu na hekima unahitajika katika kumsaidia kijana huyu ambaye ni mtanzania mwenzetu. Ukienda kumuona hakika hutasta kutoa hata sh 100 itamsaidia sana. Mungu awabrike wale wenye mioyo ya huruma.
 
Asante sana kwa taarifa
Kilewo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom