Wana JF tumrudishe mwanaharakati mwenzetu Tanzania-Faustine munishi

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Ni miaka mingi imepita sasa tangu mwanaharakati asiye ogopa kusema jambo bwana FAUSTINE MUNISHI,Kukimbia nchi na kwenda kuishi kenya kama raia wa nchi hiyo na hata alishawahi kuandika makala kuwa AKIFA AZIKWE KENYA

CCM Wakiniua, Mnizike Kenya." Asema Munishi. "Siyo kwamba nimebadili uraia, wala sitarajii kufanya hivyo.Mimi bado ni Mtanzania. Sikuchagua kuzaliwa Tanzania, lakini nitachagua pa kuzikwa.Serikali za CCM zimenifanya nisiwe na mahali ninapoweza kupaita nyumbani ndani ya nchi yangu. Kosa langu ni kusema CCM sera zake zimeiharibu Tanzania, na hawafai kuwa madarakani.Makachero wa Tanzania wamekuwa wakitumia kila mbinu chafu kuwasumbua na hata kuwaua wote walio na uhusiano wa karibu na Munishi. Ajabu ni kwamba Munishi mwenyewe akienda Tanzania wanafuatilia nyendo zake bila kutishia kumuua" hii nimeipata ktk (http://www.munishi.com/)

Ninacho kiomba wanaJF tumrudishe huyu mwanaharakati Tanzania ili aendelee kuipigania nchi yake,tutambue kuwa pamoja tutajenga

kwani kukimbia tatizo sio ndio njia ya kulitatuwa,

msema ukweliiii hapwendwiiii daimaaaaa:bump::A S-alert1:
 
I admire the guy arudishwe, anazungumza sense kweli...lakini udini amepindukia..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom