Wana JF tujadili.....

deny_all

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
431
30
Nimeipata hii sehemu fulani ila sijui source ni wapi na nani....lengo ni kuwa tujadili ukweli wa hizi statement.

To reflect and... act……
1. The difference between the poor and rich nations is not the age of the Nation.

2. This can be demonstrated by countries like India and Egypt, which are more than
2000 years old and are still poor countries

3. On the other hand, Canada, Australia and New Zealand, which 150 years back were insignificant, today are developed and rich countries.

4. The difference between the poor and rich nation does not also depend on the available natural resources

5. Japan has limited territory, 80% mountainous, unsuitable for agriculture or farming, but is the second in worlds economy. The country is like an immense floating factory, importing raw material from the whole world and exporting manufactured products.

6. Second example is Switzerland, it does not grow cocoa but produces the best chocolates in the world. In her small territory she rears animals and cultivates the land only for four month in a year, nevertheless manufactures the best milk products. A small country which is an image of security which has made it the strongest world bank.

7. Executives from rich countries who interact with their counterparts from poor countries show no significant intellectual differences.
8. The racial or colour factors also do not evince importance: migrants heavy in laziness in their country of origin are forcefully productive in rich European countries.

9. What then is the difference?

10. The difference is the attitude of the people, moulded for many years by education and culture.

11. When we analyse the conduct of the people from the rich and developed countries, it is observed that a majority abide by the following principles of life:

  • Ethics, as basic principles.
  • Integrity.
  • Responsibility.
  • The respect for Laws and Regulations.
  • The respect from majority of citizens by right.
  • The love for work.
  • The effort to save and invest.
  • The will to be productive.
  • Punctuality.
13. In the poor countries a small minority follow these basic principles in their daily life.

14. We are not poor because we lack natural resources or because nature was cruel towards us.

15. We are poor because we lack attitude.

16. We lack the will to follow and teach these principles of working of rich and developed societies.

We are in this state because we want to take advantage over everything and everyone.
We are in this state because we see something done wrong and say - “let it be”
We should have a spirited memory and attitude…..only then will we be able to change our present state

Kwa mawazo yangu naona ukweli mkubwa sana kwenye haya yaliyoelezwa hapo juu mfano,

1. Ukiiba mali ya umma unaonekana shujaa kuliko mtu anayekataa kufanya matendo hayo
2. Kila siku barabarani ukiwa mtu wa kufuata sheria (i.e unasimama kwenye taa nyekundu) anakuja mtu nyuma yako akipiga honi upite just because hakuna traffic anayeona kwa wakati huo.
3.Rushwa mahospitalini, mahakamani, ardhi,....kununua haki kwa kulazimishwa
4.Watu kutokujali kabisa kazi walizokabidhiwa hasa serikalini, ofisi inageuka kijiwe cha kupoteza muda.
n.k ......
 
ASANTE SANA.......If only every Tanzanian read and understood this, then followed it......Natamani sana!

Hizo sentensi ni za ukweli kabisa.
 
Tatizo mkuu shule haitupi njia mbadala baada ya kumaliza shule unatakiwa ufanye nini pasipo kutegemea kuajiriwa(hasa serikalini).
mfano ni jana tu nilipata wasaa wa kuisikiliza BBCswahili mida ya jioni,kuna mwali na wanafunzi wake toka hapa TZ wapo nje nchi(study tour).bila aibu ati wanasema wenzetu wanaandaliwa mitaala kila kukicha/kila tukio-fano sunami na nyuklia JAPAN tayari imeshaingizwa katika mitaala yao ili kujifunza jinsi a kukabiliana nayo.Swali likajea kwanini nyinyi kama walimu msikae na kibadili hiyo mitaala yenu iendane na wakati?jibu lake alotoa mwalimu,sikuweza kuelewa(politics)
Swali la pili kwa mwanafunzi,Je, mkishindanishwa na mwanfunzi wa hapa kwa maana hii atakushinda?jibu ndiyo, ila kuna masomo nitamshinda hasa hesabu tuko fiti.
hebu jiulize hapa kwa hara hara ukijua?kariri hesabu ndo maisha/mendeleo yanakuja kweli?
toka umalize wewe kusoma,ulishawahi kukutana logarithim sijui derive equetion mzunguko wako wa kutafuta maendeleo?
sasa kwa style hii unategemea nini?
 
Umezungumzia elimu ni kweli lakini kosa ni letu kwa kuwakabidhi wanasiasa kila kitu chetu mpaka mustakabali wa maisha yetu unakuwa determined by wanasiasa lakini hatuna jinsi wa kuwaput to task.

Kama tungekuwa watafuta maendeleo tungekutana nazo hizi "logarithmic equations" somewhere ....wavumbuzi wengi kwenye field mbalimbali za science hili wanajua. Ila sisi kama ni watumiaji tu wa vitu vya wenzetu hatuwezi kukutana nazo.
 
Back
Top Bottom