wana JF tuelezane vitu gani huwa tunafanya tukiwa pekee yetu (private)

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
katika muda wa masaa 24 binadamu amejaaliwa kupata walau masaa machache ambayio huwa peke yake...katika muda huu kuna watu hutumia kusali, wengine kumeditate nk...ukiwa kama binadamu ni mambio gani wewe hufanya ukiwa private,hakuna akuonae wala kukusikia.........karibu
 
we huwa unafanya nini,mbona unataka kjjua ya wengine?
Nb
Mods peleka hii kitu kule chit chat
 
mie najamba:redface::redface::redface:

napenda pia kuvusha niko na hendisamu langu(day dream)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom