Wana jf nisaidieni

florence

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
423
161
Naomba wana jf mnisaidie nipate kazi nina bachelor ya Wildlife Science and Conservation, nafanya kazi kwenye wilaya moja lakini wapendwa hakuna shughuli twasubiri tu mshahara kila mwisho wa mwezi. Mimi ni bint nina miaka kati 27-30, bado nina nguvu na nahitaji kuwa busy. ninauwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote yale na ninauwezo wa kujifunza kitu kwa muda mfupi namaanisha hata kama kazi sio ya proffesional yangu naweza nikaifanya nikipata training ya muda mfupi.
Please i need your help
 
sasa ndugu hapo unalalamika kulipwa bila kufanya kazi au ??? usiwe kilema ndugu kuna watu wako mtaani hata hiyo hela ya bure unayopata hawaipati wanaitafuta. sio lazma wote tuajiriwe kama vipi angalia uwezekano wa kujiajiri mwenyewe nahisi kwa hilo lazma ule kwa jasho tu!
Goodluck!!
 
Nakushauri ujiajiri mwenyewe Mdogo wangu.

Pokea mshahara, huku unapiga Biashara zako.

If anything PM me.
 
Naomba wana jf mnisaidie nipate kazi nina bachelor ya Wildlife Science and Conservation, nafanya kazi kwenye wilaya moja lakini wapendwa hakuna shughuli twasubiri tu mshahara kila mwisho wa mwezi. Mimi ni bint nina miaka kati 27-30, bado nina nguvu na nahitaji kuwa busy. ninauwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote yale na ninauwezo wa kujifunza kitu kwa muda mfupi namaanisha hata kama kazi sio ya proffesional yangu naweza nikaifanya nikipata training ya muda mfupi.
Please i need your help

Kama una uwezo wa kufanya kazi popote kwanini unataka kuachana na hapo! Be the change you want to see.!
 
Mbona sion tatzo lako?au ndo ile asiyefanyakaz na asile?pga mpunga huo csta cc 2po kitaa hata pakupga mkwanja ha2on ww unalipwa bilakufnya kaz unashangaa?TZ huouzalendo huo aliondokanao Nyerere,nw nikuchukua chako nakupangusa mavumbi bla kuangalia nyuma, ACHA UZEMBE
 
Hivi ukisoma wildlife ndio uwaze kama 'wao'? Amsha kichwa dada, hiyo ni sawa na kumuomba Mungu majipu. Kama serikali imeamua kukupa fursa ya kupata mtaji bila marejesho + muda wa kuratibu biashara zako hilo ni suala la wewe kunung'unika?!!! Soon nitafikiria kukuoa ili nipate hizo baraka ulizoshindwa kuzitumia (am kidding, don't get mad)
 
Kama una uwezo wa kufanya kazi popote kwanini unataka kuachana na hapo! Be the change you want to see.!
tatizo la watanzania wachache hawapendi kuwa sehemu ya mabadiliko bali wnapenda kuendeleza walichokikuta mahali husika. dada kama umesoma najua unaweza ukawachachu ya mabadiliko na kama kweli hampigi kazi wahamsishe wenzio mpige kazi ili muliletee taifa maendeleo. ILA CHONDE CHONDE MUSIUZE WANYAMA WETU.

ALSO am advising you to do your own business if and only if you have an idea of business don't do it because others are doing or pressure from your friend.
 
Back
Top Bottom