Wana Jf nisaidie hili!

endelea nae maana hujaona wa kukava nafasi yake!.... Siku ukipata UKIMWI atatokea wa kukava nafasi. All the best mkuu!
 
Niliambiwa pale moyo wako unapopenda tambua huyo ndiye unampenda bila kujalisha umeoa/umeolewa!Mapenzi nipale unapopenda!
 
Pole sana kaka. Kupenda ni ugonjwa MBAYA SANA! Unaona kabisa kuwa anakuelekeza kuzimu, lakini bado unamtaka. Kwa namna hiyo hata wa ku cover nafasi yake si rahisi umwone.
Kama ni kwekli anakupenda kama unavyompenda, asingerudia kosa. Pili jaribu kumdodosa kwa upole, ni nini anachokosa kutoka kwako, mpaka akusaliti. Ukikijua angalia kama unaweza kukirekebisha. Kama huwezi, jua umepotea, achana naye, hutakufa kwa kumkosa yeye. Je, angekufa leo(siombi afe) natoa mfano tu, ina maana wewe usingeishi????
Tatu, wewe una mke, hakuna baraka za Mwenyezi Mungu ktk uhusiano wenu. Bora umwombe Mungu akusamehe, kisha akupe nguvu za kumshinda Ibilisi. Utulie ndani ya ndoa yako. Je, mkeo angefanya kama unavyofanya wewe, ungejisikiaje? Usimtendee usichopenda kutendewa.
Math 7:12.
MWISHO: Huyo hawara anajua kuwa hana future na wewe, sababu ana mke. Kwa hiyo sana sana akuchune tu, na mchezo mchafu huo. HAKUNA MAPENZI YA DHATI HAPO. Toka kwenye utumwa wa mapenzi.
 
Kelema maneno yako yamegonga ktk medula!kama kuna zaidi pls nipe na nipm maana nateseka wala sijui kinacho nitesa zaidi nta kpm kukupa kilichojili!
 
Wewe c ndo umekataliwa sasa tukushauri nini kama hutaki kukubali matokeo!!labda uende kwakalumanzila amroge ili akurudie lasivyo kubali yaishe na usonge mbele.
 
Mhh kazi unayo safari njema lkn mwisho ni msiba. sina la kukushauri coz akili na moyo pamoja na mwili vyote umemkabidh huyo bint we umebakiwa na macho2 pole lakin unalo
 
Ushauri wangu, muache haraka huyo msichana na kamuombe msamaha mkeo
 
endelea tu kugongea ofic, ila hii kitu nachukia kweli maana hata raha hapo hamna ni wasiwasi tuu
 
Unashangaza! Ulipogundua ana cheat ukachukia na kuamua kumuacha. Unayomfanyia mkeo unaona sawa eeh! Halafu unatamba kabisa kuwa ndio umeshapenda sana mpaka una beg akurudie. Mimi nakushauri umuache mkeo kwa sababu hukumuoa kwa mapenzi na sasa umeshapata unaempenda kwa hiyo huwezi kuwa muaminifu tena kwa mkeo. Baada ya hapo endelea kumegewa ofisini ukisubiri hatma yako kwa huyo umpendaye kwa dhati ambaye anawapanga foleni.
 
Wezi bana... sasa wewe kuibiwa kidoooogo tu kelele na malalmiko mengi. Tafuta pengine pa kuiba.
 
Back
Top Bottom