Wana-jf niokoeni katika hili

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na laptop yangu.
Details:
Laptop: HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook PC
OS: Window 7 (Baada ya kuondoa Vista iliyokuja na machine)

Jamani Nisaidieni tafadhari.
 
Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia
 
hakuna laptop yenye jina hilo,nimecheck kwenye site ya hp
Anyway sina comment juu ya hilo, lakini kumbuka nina hakika na ninachokiandika hapa. Nimetoa P/N kurahisisha zoezi kwa yule ambae anaweza kunisaidia. HP kuwa zipo kwa series, for that reason Yangu ipo kwenye dv6500, na ukienda specifically product number ya machine yangu ndiyo hii dv6645el.
Nashukuru kwa mchango wako.

Refer: http://h10025.www1.hp.com/ewfrf/wc/...en&cc=us&dlc=en&sw_lang=&product=3630049#N150
 
Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia
Pamoja na uchanga wako humu kwenye JF, bado huwa natambua michango yako...ila kwa hili....nadhani umedhihirisha utoto wako kwa umri hasaaaaa.
Ushauri: Kama huna kitu cha ku-share better stay silent. Kimya kina tabia ya kuhifadhi upumbavu wa mtu na kuonekana mwenye hekima.
Asante sana.
 
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na laptop yangu.
Details:
Laptop: HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook PC
OS: Window 7 (Baada ya kuondoa Vista iliyokuja na machine)

Jamani Nisaidieni tafadhari.
Hiyo laptop ndio hii hapa? https://www.jamiiforums.com/busines...uza-kiwanja-nyumba-kigamboni.html#post1946961 Ungeweka kule kwenye technolojia wangekusaidia.
 
Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia

we hebu rudi jukwaani kwako wasije wakakushambulia bure.
Rev peleka hii thread jukwaa la teknolojia utapata misaada mingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom