Wana JF naomba kuwasilisha hoja kwenu kama ifutavyo, naomba 2ungane wote kudai demokrasia ya kweli.

FRANK MICHAEL

Senior Member
May 17, 2011
151
46
Ndugu wananchi wote mmeshuudia jeshi la police wakiua watu kama mambwa koko, hakuna matamko yanayotolewa na viongozi wetu kwa maana njingine wanaunga mkono mauaji hayo hivyo basi kitendo cha police kumkamata kiongozi wa kambi ya upizani bungeni ni ukweli kwamba kuna haja wa kudai ukombozi kwa mara ya pili kama anavyo sema mh sana Lema! baada kusema maneno hayo naomba kutoa hoja kwa wana jf wote tushirikiane kwa pamoja
 
Karibu sana dogo
 
Bila matumizi ya nguvu hatutaweza kusikilizwa na badala yake wataendelea kutunyanyasa. Nashauri tufikirie na matumizi ya nguvu kudai haki zetu!
 
Back
Top Bottom