duh! Kumbe utani una madhara.
mm nakushauri utanue wigo wako wa kipato kazi usiache kopa hela na uifanye hiyo biashara mwenyewe.
duh! Kumbe utani una madhara.
mm nakushauri utanue wigo wako wa kipato kazi usiache kopa hela na uifanye hiyo biashara mwenyewe.
Huna mil 20, ujaribu bahati yako? Mi ningejoin sema nna mil10!
Wana JF kwa mtu yoyote aliyetayari kufanya biashara na mkaribisha ajee tushirikiane kuna biashara naijuwa ambayo inalipa sana na ni halali kwa mujibu wa sheria TZ kama mtu yupo seriously karibu tushirikiane kwani umoja ni nguvu no one can stand alone
Simaanishi kumuunga mkono mtoa mada maana wengi hapa wanamshuku na busara za wengi huenda zina ukweli... lakini ukiachana na wasifu wa JF wa huyo mtoa mada, anachoongea kina ukweli. Kwa mfano, processing ya mahindi ni biashara nzuri kama unayakusanya wakati wa mavuno zaidi halafu unayakoboa, kusaga na kufungasha unga kwa lengo la kuuza jumla kwa wenye maduka au rejareja kwa walaji. Ameielezea kimkato bila shaka ni kwa lengo la kuotmwaga mchele wooote hapa jamvini.
Hata hiyo ya mkaa nayo ina akili... binafsi sijaipenda kwa sababu za kuharibu mazingira. Ila kuna binti mmoja anakaribia kuanza maeneo ya Mabibo na makadirio yake ni kutengeneza (net) si chini ya 2 mill/mwezi. Yeye ana sehemu ya kuuza jumla na rejareja na atatumia fuso la kukodi hadi afikie kununua la kwake.
Lengo langu kusema haya ni kwamba tusimpige jamaa mawe haraka ila pia tuangalie hizo idea maana huenda zikamsaidia mtu hapa. Sio lazima uambatane na mtoa mada, unaweza kuichunguza idea ukaifanyia kazi kivyako pia. Si ndio maana ya capitalism hiyo??
Tuko pamoja!
Naomba niwaönyeshe wana jf kuwa nipo tayari kumsadia mtu yoyote idea hizi nipo tayari kuwaonyesha watu wanaofanya hizi kazi kwa gharama zangu mwenyewe! Kama mtu anataka kufanya mwenyewe pia naweza kumpeleka kwenye masoko akafanya upembuzi yakinifu kabla. Jmosi ninaenda kufanya suvey nitawaletea jibu zuriUsiwe wilshere umekuja na ID nyingine haaaaaaa aibiwi mtu hapa
Wewe jamaa response ya post zako nyingi huwa ni za ki magumashi magumashi sana...huwa unafanya utani sana kwenye ishu serious za watu
Kwa kifupi huwa ukitangulia ku respond kwenye post za watu huwa una haribu sana flow ya maoni!!!!!!
This z just my observation...kama nimekukwaza, samahani
Naomba niwaönyeshe wana jf kuwa nipo tayari kumsadia mtu yoyote idea hizi nipo tayari kuwaonyesha watu wanaofanya hizi kazi kwa gharama zangu mwenyewe! Kama mtu anataka kufanya mwenyewe pia naweza kumpeleka kwenye masoko akafanya upembuzi yakinifu kabla. Jmosi ninaenda kufanya suvey nitawaletea jibu zuri
Jmosi naenda kuangalia soko la mafuta alizeti na chakula cha mifugo kwani nitakuwa na pumba na mashudu ya aliziti ambayo ni chakula cha mifugo Nina wapeleka maeneo ambayo watu wanafanya kazi hizo soko langu hamuwezi kulijuwa hata ukilijuwa hamuwezi kufanya competion kwa jinsi nilivyo wasoma !
Biashara iko hivi,Utaelekezwa ukachukue Madawa ambayo ni Adimu na Mteja ni Mzungu yupo tayari kununu hayo madawa kwa faida ya 80% and above.
utaenda kununua hayo madawa.wakati unarudi kufanya supply kwa mteja hapo ndio mwisho wa biashara kwani mteja atakuwa Amesafiri kidogo kurudi ulaya.
People Be Careful na biashara za kimya kimya au unatakiwa utoe pesa upfront.
Usiwe wilshere umekuja na ID nyingine haaaaaaa aibiwi mtu hapa